-
Facebook yafunga ukurasa wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu kwa fatwa yake dhidi ya Israel
Jan 06, 2021 09:02Uongozi wa mtandao wa kijamii wa Facebook umeufunga ukurasa wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu kutokana na fatwa yake ya kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kumalizika mzingiro wa Qatar, suluhu inayoyumbayumba
Jan 06, 2021 08:52Makubaliano ya kukomeshwa mzingiro wa nchi kadhaa za Kiarabu dhidi ya Qatar yametiwa saini katika kikao cha al Ula nchini Saudi Arabia bila ya kuhudhuriwa na viongozi wa nchi za Imarati, Misri, Bahrain na Oman.
-
Marekani yawaingiza magaidi katika kituo chake cha kijeshi Syria
Jan 06, 2021 04:39Jeshi la Marekani limewaingiza makumi ya magaidi wa ISIS au Daesh katika kituo chake cha kijeshi cha Al Tanf ambacho kiko Syria kinyume cha sheria.
-
Ansarullah: Kusalimu amri Saudia mbele ya Qatar kunaonesha uvamizi na mzingiro umefeli
Jan 06, 2021 01:11Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema hatua ya Saudi Arabia kuondoa mzingiro na kufungua tena mipaka yake ya anga, nchi kavu na baharini na Qatar inaonesha wazi kuwa sera za uvamizi na mzingiro zimefeli na kugonga mwamba.
-
Wanajeshi wa Marekani nchini Iraq; mwaka mmoja baada ya kupasishwa mpango wa Bunge
Jan 05, 2021 23:15Jumanne ya jana tarehe 5 Januari ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Bunge la Iraq lilipopasisha mpango wa kufukuzwa nchini humo askari wa Marekani.
-
Iraq yaishitaki Marekani kwa kutumia silaha zenye urani nchini humo
Jan 05, 2021 10:49Mshauri wa masuala ya kisheria wa Bunge la Iraq amefungua mashtaka dhidi ya Marekani katika mahakkama ya Sweden kwa tuhuma za kukiuka mamlaka ya kujitawala ya Iraq na kutumia silaha zenye uranium dhidi ya nchi hiyo.
-
Nukta nne muhimu katika hotuba ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa hauli ya Qassim Suleimani
Jan 05, 2021 08:17Hotuba ya Samahat Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kutimia mwaka mmoja tangu wauawe shahidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al-Hashd Al-Shaabi ilikuwa na nukta kadhaa muhimu na zenye mazingatio makubwa.
-
Binti wa shahidi Qassem Suleimani atuma salamu maalum kwa wananchi wa Palestina
Jan 05, 2021 04:13Zainab Suleimani, binti wa shahidi Qassem Suleimani ametuma salamu maalum kwa wananchi wa Palestina kwa mnasaba wa maadhimisho maalum yaliyofanyika katika Ukanda wa Gaza kwa anuani ya "Shahidi wa Quds" katika mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi kamanda huyo wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC.
-
Amir wa Qatar kuhudhuria mkutano wa GCC leo baada ya Saudia kuifungulia Doha mipaka yake yote
Jan 05, 2021 03:43Qatar imethibitisha kuwa kiongozi wa nchi hiyo Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani atahudhuria mkutano wa 41 wa wakuu wa nchi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) unaofanyika leo katika mji wa Al-Ula nchini Saudi Arabia.
-
Makumi ya Wapalestina wajeruhiwa na wanajeshi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Jan 04, 2021 23:47Vyombo vya habari vimearifu kuwa makumi ya raia wa Palestina wamejeruhiwa katika shambulio la wanajeshi wa utawala wa Kizayuni huko kusini mwa Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.