-
Palestina yaliomba Baraza la Usalama la UN liuadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 30, 2020 03:38Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametuma barua tofauti kwa viongozi wa umoja huo akitaka jamii ya kimataifa kukabiliana ipasavyo na jinai za utawala wa Kizayuni na kuuadhibu utawala huo kwa hatua yake ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina.
-
Kiongozi wa Hamas ataka Saudia iwaachilie huru wafungwa Wapalestina
Dec 30, 2020 00:54Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniya, ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru wafungwa wote Wapalestina inaowashikilia akiwamo afisa wa Hamas.
-
Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wamemuenzi Shahidi Soleimani
Dec 30, 2020 00:52Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wamemuenzi Shahidi Luteni Jeneali Qassem Soleimani mwaka mmoja baada ya kuuawa kwake katika hujuma ya jeshi la kigaidi la Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Kukosoa serikali ya Afghanistan hatua ya Taliban ya kuwalenga wananchi katika mashambulio yake
Dec 29, 2020 23:17Serikali ya Afghanistan imekosoa vikali hatua ya kundi la wanamgambo wa Taliban ya kuwalenga kwa mashambulio wanaharakati wa kiraia, shakhsia mbalimbali na wanahabari na kueleza kwamba, hicho ni kilele cha udhalili wa kundi hilo.
-
Hania: Muqawama ndiyo njia bora na pekee ya kukabiliana na kumaliza uvamizi
Dec 29, 2020 08:13Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kwa mtazamo wa wananchi wa Palestina, muqawama ndilo chaguo bora kabisa la kupambana na kukomboa kikamilifu ardhi zao.
-
Matawi 12 ya kijeshi ya makundi ya muqawama ya Palestina yanashiriki katika manuva ya Gaza
Dec 29, 2020 04:43Matawi 12 ya kijeshi ya makundi ya Muqawama ya Palestina yanatazamiwa kushiriki katika mazoezi ya pamoja ya kijeshi yanayofanyika leo kwa mara ya kwanza katika Ukanda wa Gaza.
-
Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari kwa waandishi habari mwaka 2020
Dec 29, 2020 02:39Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari sana kwa waandishi habari katika mwaka huu wa 2020.
-
Nukta muhimu katika mahojiano ya Sayyid Hassan Nasrallah na Televisheni ya Al Mayadeen
Dec 28, 2020 23:29Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah Jumapili 27 Disemba alifanya mahojiano muhimu na Televisheni ya Al Mayadeen ya Lebanon. Katika mahojiano hayo aliwakumbuka na kuwawenzi Shahidi Luteni Jenerali Hajj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu: Ni haramu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 28, 2020 08:51Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu amesema kuwa, viongozi wanaotaka mapatano wameanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kwa sababu ya woga, tamaa na kwa ajili ya kulinda maslahi yao pamoja na tawala zao, hatua ambayo ni haramy na batili.
-
Hizbullah: Luteni Jenerali Qassim Suleimani ni shahidi wa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 28, 2020 08:50Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Luteni Jenerali Qassim Suleimani ni shahidi wa Ulimwengu wa Kiislamu na mashahidi wa mhimili wa muqawama.