-
Yemen itaendelea kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Dec 28, 2020 04:43Mjumbe mmoja wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, nchi hiyo ni miongoni mwa nchi zilizoko mstari wa mbele katika ukombozi wa Quds na Kibla cha Kwanza cha Waislamu
-
Hamas yasisitizia mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni
Dec 28, 2020 04:43Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, mapambano ya silaha dhidi ya utawala wa Kizayuni ambao ndiye adui mkubwa wa ubinadamu, Waislamu na Wapalestina, ndiyo njia pekee ya kupambana na kumshinda adui huyo mtenda jinai.
-
Nasrullah afichua njama ya kumuua na namna Saudia ilivyohusika katika mauaji ya shahid Qassem Suleimani
Dec 28, 2020 00:40Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kusudio la kuwaua viongozi na makamanda wa harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu ni lengo la pamoja la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na akabainisha kwamba, zimetolewa indhari na masisitizo na duru tofauti kuhusu uwezekano wa yeye kuuawa katika kipindi cha karibuni.
-
Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq
Dec 27, 2020 20:50Ushahidi mpya umefichua kuwa, vyombo vya usalama vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel vipo mbioni kuzalisha kizazi kipya cha genge la kigaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Yemen yaionya Israel isijaribu kuivamia, yajibu vitisho vya Tel Aviv
Dec 27, 2020 20:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu ya Yemen imetahadharisha kuwa, vita vikubwa vitaibuka katika eneo la Asia Magharibi iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utathubutu kuivamia Yemen.
-
Wairaqi waandamana kulaani Marekani kwa kuwaua makamanda wa vita dhidi ya ugaidi
Dec 27, 2020 12:02Watu wa Iraq wameandamana katika mji mkuu, Baghdad, kulaan kitendo cha kigaidi cha Marekani cha kuwaua makamanda wakuu wa vita dhidi ya ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na mwanamapmabano mwenza wa Iraq Abu Mahdi al Muhandis.
-
Jihad Islami ya Palestina: Wazayuni wanawaogopa wanamuqawama wa Palestina
Dec 27, 2020 11:57Afisa mwanadamizi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema hujuma za jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza ni ishara ya kuchanganyikiwa wakuu wa utawala huo wa Kizayuni ambao sasa wanaogopa makundi wa wanamuqawama au wanamapambano wa Palestina.
-
Mvutano kati ya Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq na serikali ya Iraq; sababu na malengo yake
Dec 27, 2020 10:20Usiku wa kuamkia Jumatatu ya wiki iliyopita ubalozi wa Marekani ulioko kwenye eneo lenye ulinzi mkali, linalojulikana kama Green Zone, katika mji mkuu wa Iraq Baghdad ulishambuliwa kwa maroketi.
-
Kuanzisha uhusiano na Israel kwazidi kupigwa; wananchi wa Morocco waandamana tena
Dec 27, 2020 04:40Wananchi wa Morocco wameandamana tena wakipinga na kulaani hatua ya serikali ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Palestina yalitaka Baraza la Usalama kukabiliana na jinai za walowezi
Dec 26, 2020 11:02Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imetoa taarifa inayolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kukomesha jinai za walowezi wa Kizayuni huko Palestina.