-
Palestina yalitaka Baraza la Usalama kukabiliana na jinai za walowezi
Dec 26, 2020 11:02Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imetoa taarifa inayolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kukomesha jinai za walowezi wa Kizayuni huko Palestina.
-
Waziri wa Ulinzi wa Yemen: Muungano vamizi wa Saudia umeshindwa
Dec 26, 2020 11:01Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia umeshindwa vibaya nchini Yemen na umeangukia pua.
-
Wasiwasi wa Afghanistan kwa kuwepo viongozi wa kundi la Taliban nchini Pakistan
Dec 26, 2020 09:35Afghanistan imesema inatiwa wasiwasi na kuwepo nchini Pakistan viongozi wa kundi la wanamgambo la Taliban.
-
Syria yataka Baraza la Usalama lizuie hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 26, 2020 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema imekosoa uungaji mkono wa baadhi ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel na imetaka baraza hilo lichukue hatua za kivitendo kuzuia hujuma hizo za utawala wa Kizayuni.
-
Nouri al-Maliki: Qassem Suleimani alifelisha njama za kubadilisha utambulisho wa eneo
Dec 25, 2020 23:15Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq Nouri Al-Maliki amesema, kwa mapambano, uvumlivu mkubwa na jihadi yake, shahid Qassem Suleimani aliweza kufelisha na kuzima njama nyingi za maadui za kutaka kubadilisha utambulisho wa eneo la Asia Magharibi.
-
Misafara mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani yashambuliwa nchini Iraq
Dec 25, 2020 23:11Duru za kiusalama nchini Iraq zimeripoti kuwa misafara mingine mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani imeshambuliwa katika maeneo ya Dhi Qar, Diwaniya na Babil.
-
Kuvunjwa Bunge la 'Knesset' na upeo wa kisiasa wa utawala haramu wa Israel
Dec 25, 2020 06:01Bunge la utawala haramu wa Israel Knesset lilivunjwa rasmi usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita ambapo kwa kusambaratika serikali ya muungano, sasa uchaguzi mpya wa Bunge ambao ni wanne katika kipindi cha miaka miwili unapasa kufanyika Machi 23 mwaka ujao wa 2021.
-
Vita vya muungano vamizi wa Saudia vimeuwa watoto wa Kiyemeni karibu elfu 4
Dec 25, 2020 03:50Waziri wa Afya wa Yemen ametangaza kuwa watoto wa Kiyemeni karibu elfu nne wameuawa katika vita vya muungano vamizi nchini humo unaoongozwa na Saudi Arabia na kusababisha mamia ya maelfu ya wengine kuwa na utapiamlo.
-
Jeshi la anga la Syria lakabiliana na shambulizi la makombora la Wazayuni
Dec 25, 2020 03:08Jeshi la anga la Syria mapema leo Ijumaa limekabiliana na shambulizi la makombora la utawala wa Kizayuni katika mji wa Masyaf, mkoani Hama, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mkuu wa Baraza la Shura la Yemen aitolea wito Jamii ya kimataifa kuhitimisha mzingiro wa Yemen
Dec 24, 2020 23:00Mkuu wa Baraza la Shura la Yemen ameitaka jamii ya kimataifa na Umoja wa Mataifa kutekeleza jukumu lao ili kuhitimisha mzingiro huko Yemen.