-
Ujumbe wanaokusudia kuufikisha Wairaqi kwa maandalizi ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda Qassem Suleimani
Dec 24, 2020 22:59Wananchi na makundi mbalimbali ya Wairaqi wanajiandaa kwa hauli na maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu alipouliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani na Abu Mahdi Al-Muhandis.
-
Haniya: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuupiga jambia umma wa Kiislamu
Dec 24, 2020 04:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kitendo cha baadhi ya nchi za Kiarabu cha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni sawa na kuwapiga jambia kwa nyuma wananchi wa Palestina na umma wa Kiislamu kwa ujumla.
-
Jihad al Islami: Shahid Soleimani alikuwa mhandisi wa kambi ya muqawama
Dec 24, 2020 00:00Kiongozi mmoja mwandamizi wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, shahid Qassem Solaimani ndiye hasa aliyeyaimarisha makundi yote ya muqawama katika eneo hili.
-
Kutangaza msimamo wa wazi Pakistan wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Dec 23, 2020 09:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amepinga aina yoyote ya mashinikizo ya nje dhidi ya nchi hiyo kwa ajili ya kujiunga na safau ya nchi zinazoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni na kueleza kuwa: Islamabad katu haitaitambua rasmi Israel.
-
Muhammad Ali al-Houthi: Msikiti wa al-Aqswa uko hatarini; Waislamu watumie nyenzo zote kuulinda
Dec 23, 2020 04:36Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Wananchi wa Yemen ameashiria kuendelea kuchimbwa mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu na kueleza kwamba, Waislamu wanapaswa kutumia nyenzo na suhula zote kukabiliana na njama hizo.
-
Bunge la Israel lavunjwa; mgogoro wa kisiasa wazidi kuugubika utawala huo bandia
Dec 23, 2020 04:34Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel 'Knesset' limevunjwa rasmi na kuufanya utawala huo ghasibu kuitisha uchaguzi wa nne wa Bunge katika kipindi cha takribani miaka miwili.
-
Wanazuoni kadhaa wa Kishia wamekamatwa Saudi Arabia
Dec 22, 2020 21:24Wanazuoni zaidi ya 12 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia wanashikiliwa bila kufunguliwa mashtaka nchini Saudi Arabia huku ufalme huo ukishadidisha ukandamizaji wa jamii za waliowachache nchini humo.
-
Dubai imegeuzwa kitovu cha maovu na ufuska kwa ajili ya watalii kutoka Israel
Dec 22, 2020 09:32Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimeripoti kuwa, Dubai imegeuzwa mji wa kufanyia maovu na ufuska na kuwafanya wazayuni wawe na hamu kubwa ya kuutembelea.
-
Al-Azhar yajiunga na kampeni ya kuipiga vita harakati ya Ikhwanul Muslimin
Dec 22, 2020 09:17Chuo Kikuu cha al-Azhar kimechukua msimamo dhidi ya wanachama na watu wanaojiunga na harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya Misri.
-
Harakati ya An-Nujabaa: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kambi ya jeshi
Dec 22, 2020 09:15Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya An-Nujabaa ya Iraq amesema, ubalozi wa Marekani mjini Baghdad si kituo cha kidiplomasia bali ni kambi ya jeshi la nchi hiyo.