-
Mashambulio ya maroketi dhidi ya eneo la kijani Baghdad; watekelezaji na malengo yao
Dec 22, 2020 06:53Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq Baghdad usiku wa kuamkia jana Jumatatu ulishambuliwa kwa akali na maroketi manane.
-
Hizbullah: Shahidi Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya njama za ubeberu wa Marekani
Dec 22, 2020 04:04Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, shahidi Qassem Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
-
Taasisi za haki za binadamu: kuwatia mbaroni viongozi wa kidini nchini Saudia ni ukiukaji wa wazi wa sheria
Dec 21, 2020 23:26Taasisi mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimetoa radiamali kufuatia hatua ya utawala wa Saudi Arabia kumtia mbaroni mwana wa kiume wa Sheikh Nimr Baqir al Nimr.
-
Hamas yaikosoa Imarati kwa kuunga mkono sera za Israel
Dec 21, 2020 04:46Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu unaunga mkono sera za utawala wa Kizayuni wa Israel kwa madhara na ukiukaji wa haki za Wapalestina.
-
Saudia yabadilisha vitabu vya masomo ili kuuridhisha utawala wa Kizayuni
Dec 20, 2020 23:29Duru za habari zimearifu kuwa, Saudi Arabia imebadilisha vitabu vya masomo ya wanafunzi wa shule nchini humo kulingana na matakwa ya utawala haramu wa Kizayuni.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yalalamikia kimya cha Baraza la Usalama kuhusu uvamizi wa walowezi wa Kiyahudi
Dec 20, 2020 23:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuacha kunyamazia kimya uvamizi wa walowezi wa Kizayuni na badala yake uwajibike kivitendo.
-
Serikali mpya ya Mansur Hadi na washirika wasioelewana
Dec 20, 2020 23:11Abdurabbuh Mansur Hadi, Rais aliyejiuzulu wa Yemen, Ijumaa iliyopita alitoa agizo la kuundwa serikali mpya ya nchi hiyo kwa uongozi wa Waziri Mkuu Maeen Abdul-Malik Saeed.
-
Bin Salman na Bin Zayed wafanya kikao cha faragha kuijadili Qatar
Dec 20, 2020 10:28Baadhi ya duru za kuaminika zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia na mwenzake wa Imarati (UAE) wamefanya kikao cha faragha cha kuzungumzia kadhia ya Qatar.
-
Maisha ya mapacha walio ungana Yemen hatarini kutokana na mzingiro wa Saudia
Dec 20, 2020 04:15Maisha ya mapacha waliozaliwa wakiwa wameunganika Yemen yako hatarini kutokana na mzingiro uliowekwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
Askari wa Iraq waangamiza magaidi, wazima hujuma
Dec 20, 2020 03:58Askari wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi Iraq maarufu kama Hashdu Shaabi wamefanikiwa kuwaangamiza magaidi watano sambamba na kuzima hujuma ya kigaidi katika eneo la al-Oaista mjini Jurf al Nasr mkoani Babel, kusini mwa mji mkuu Baghdad.