-
Mshauri wa Assad ataka jeshi vamizi la Marekani liondoke Syria
Dec 20, 2020 03:41Mshauri wa Rais Bashar al Assad wa Syria amelaani vikali Marekani kwa kuikalia kwa mabavu nchi yake na kupora utajiri wake wa mafuta.
-
HAMAS: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni kumhudumia adui Mzayuni
Dec 19, 2020 23:17Mjumbe mwadamizi wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utwala haramu wa Israel ni kumhudumia adui Mzayuni.
-
Palestina yachaguliwa tena kuwa mwanachama wa kamati ya utendaji ya Mahakama ya ICC
Dec 19, 2020 08:39Palestina kwa mara ya pili mtawalia imechaguliwa katika kikao cha nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC ) kuwa mwanachama wa kamati ya utendaji ya mahakama hiyo.
-
Yemen yasisitiza kukabiliana na ugaidi wa kimataifa unaoongozwa na Marekani
Dec 19, 2020 04:41Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Yemen amesisitiza kuwa, nchi hiyo itakabiliana na ugaidi wa kimataifa unaoongozwa na Marekani.
-
Imran Khan asisitiza tena: Pakistan haitaitambua Israel wala kuanzisha uhusiano nayo
Dec 19, 2020 04:00Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekanusha kuwepo mashinikizo ya aina yoyote ya kuitaka nchi hiyo ijiunge na safu ya nchi zinazofanya mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Utata mwingi kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mzozo wa mataifa ya Kiarabu
Dec 18, 2020 23:30Katika kipindi cha mwezi mmoja wa hivi karibuni kumekuwa kukiripotiwa habari kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mgogoro baina ya Qatar na mataifa manne ya Kiarabu ya Saudi Arabia, Imarati, Misri na Bahrain.
-
Mzozo baina ya serikali ya Mansour Hadi na utawala wa kiimla wa Saudia wazidi kuwa mkubwa
Dec 18, 2020 23:29Duru za kuaminika zimefichua kwamba, mzozo baina ya rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu na kutoroka nchi, Abdu Rabbuh Mansour Hadi na utawala wa kidikteta wa Saudi Arabia, umezidi kuwa mkubwa.
-
Jordan yasisitiza kuiunga mkono Quds na Palestina
Dec 18, 2020 08:31Mfalme wa Jordan amesisitiza kuiunga mkono nchi huru ya Palestina ambayo mji wake mkuu utakuwa Quds Tukufu.
-
UN yalaani hatua ya Israel ya kuendelea kuua watoto wa Kipalestina
Dec 18, 2020 03:50Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamelaani vikali kitendo cha wanajeshi wa utawala haramu wa Israel cha kumuua kijana mwingine wa Kipalestina, huo ukiwa ni muendelezo wa mauaji dhidi ya watoto wa Kipalestina yanayofanywa na Wazayuni.
-
Mapatano ya Riyadh yagonga mwamba; vita vya mafuta kati ya Saudia na Imarati vimeanza huko Yemen
Dec 18, 2020 02:31Gazeti moja linalochapishwa kwa lugha ya Kiarabu limeripoti juu ya kuendelea kugonga mwamba mapatano yaliyofikiwa na Riyadh huko Yemen na kuibuka hitilafu kali kati ya nchi hiyo na Imarati kuhusu umiliki wa mafuta nchini humo.