-
Mufti wa Quds alaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
Dec 17, 2020 08:23Mufti wa Quds (Jerusalem) amelaani vikali hatua ya Walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa mjini humo na kuweka nembo ya Kiyahudi ya Menorah katika msikiti huo.
-
Saudia yamrejesha kazini kimya kimya muuaji wa Jamal Khashoggi
Dec 17, 2020 01:09Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia aliyeuliwa kinyama ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki mwaka 2018 amerejeshwa kazini kimya kimya.
-
Utawala wa kiimla wa Saudia waendelea kukiuka haki za binadamu
Dec 16, 2020 23:15Vikosi vya usalama vya Saudia vinaendeleza kampeni ya wazi wazi ya kukiuka haki za binadamu katika ufalme huo.
-
Qatar na Oman zakataa kurubuniwa ili zianzishe uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 16, 2020 07:52Nchi mbili za Qatar na Oman zimekataa takwa la Jared Kushner, mshauri mkuu wa Rais Donald Trump wa Marekani aliyekuwa akizishawishi nchi hizo zianzishe uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Human Rights Watch: Mamia ya wafungwa wa Kiafrika wapo katika mazingira mabaya Saudia
Dec 16, 2020 07:50Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, kuna mamia ya vibarua na wahajiri wa kigeni wanaoteseka katika magereza ya Saudi Arabia kutokana na mazingira mabaya katika magereza hayo.
-
Waziri wa Ulinzi wa Yemen: Wakati wa kuendesha mapambano kwa ajili ya kuikomboa nchi umewadia
Dec 16, 2020 04:23Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa nchi hiyo itasimama imara kukabliana na nchi vamizi na kueleza kuwa wakati umewadia sasa wa kuendesha mapambano kwa ajili ya kuikomboa na kuwa huru nchi hiyo pande zote.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Quds ni mstari wetu mwekundu
Dec 16, 2020 04:10Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema kuwa Quds na matukufu yake ni mstari mwekundu wa Wapalestina.
-
Makhatibu na maimamu zaidi ya 100 wa Ijumaa waenguliwa Saudia kwa kutoisema vibaya Ikhwanul Muslimin
Dec 16, 2020 00:20Makhatibu na maimamu wa Ijumaa zaidi ya 100 wameengeuliwa nchini Saudi Arabia kwa sababu ya kutotoa hotuba za kuishambulia na kuisema vibaya harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin.
-
Kutoka malalamiko hadi mpasuko ndani ya chama; Netanyahu katika mashinikizo makubwa
Dec 15, 2020 23:26Maandamano ya wiki ya 25 mtawalia dhidi ya Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Israel yamefanyika juma hili katika hali ambayo, chama cha Likud kinachoongozwa na mwanasiasa huyo kimekumbwa na mgawanyiko mkubwa.
-
Answarullah: Wavamizi hawatokuwa salama madhali Wayemen hawana usalama
Dec 15, 2020 08:08Mmoja wa viongozi waandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Aswarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, nchi zilizoivamia hiyo hiyo kamwe haziwezi kuwa salama maadamu zinaendelea kuwakosesha usalama wananchi wa Yemen.