-
Kuwait: Jukumu la usalama wa Ghuba ya Uajemi ni la nchi zote za eneo hilo
Dec 15, 2020 08:04Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, suala la kulinda usalama wa Ghuba ya Uajemi ni jukumu la nchi zote za eneo hilo na hakuna nchi yoyote inayoweza kujivua na jukumu hilo.
-
Jeshi la Syria lakamata silaha za Israel mikononi mwa magaidi
Dec 14, 2020 23:00Jeshi la Syria limekamata kiwango kikubwa cha silaha za kila namna za utawala wa Kizayuni wa Israel zilizokuwa zinatumiwa na magenge ya kigaidi kufanya jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Faili la mlipuko wa Beirut na hitilafu za kisiasa nchini Lebanon
Dec 14, 2020 22:59Hivi karibuni kulitangazwa habari ya faili linalohusiana na mlipuko wa Agosti 4 mwaka huu katika bandari ya Beirut nchini Lebanon.
-
Uturuki yamteua balozi mpya wa Israel baada ya miaka 2
Dec 14, 2020 08:48Uturuki imemteua balozi wake mpya wa Tel Aviv, zaidi ya miaka miwili baada ya Ankara kumuita nyumbani balozi wake aliyekuweko katika utawala haramu wa Israel.
-
Wasiwasi wa Baraza la Usalama kuhusu kuongezeka mgogoro wa Yemen
Dec 14, 2020 08:42Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha wasiwasi wake kuhusu kushadidi mivutano ya kijeshi na uhaba wa chakula nchini Yemen.
-
Hania: Hamas ni nembo ya malengo ya Palestina na kuendelezwa muqawama
Dec 14, 2020 04:26Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kuundwa harakati ya Hamas kwa hakika ni kule kule kuendelezwa njia ya wananchi wa Palestina yaani kupambana kwa muda mrefu na kudumishwa muqawama tangu kujiri mapinduzi ya Shahid Izzudin Qassam.
-
Nasser Bourita atetea hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 13, 2020 23:26Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Morocco ametetea hatua ya nchi yake ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel akidai kwamba, makubaliano ya Rabat na Tel Aviv yanaunga mkono utatuzi wa kadhia ya Palestina kupitia uundwaji wa mataifa mawili.
-
Askari wa jeshi la kiharamia la Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria
Dec 13, 2020 10:33Kwa mara nyingine, askari wa jeshi la Marekani wamepora makumi ya malori ya mafuta ya Syria na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.
-
Mufti wa Yemen: Uhusiano na Israel ni kusalimu amri mbele ya adui wa Uislamu
Dec 13, 2020 04:08Mufti Mkuu wa Yemen amesema kuwa, hatua ya baadhi ya watawala wa nchi za Kiarabu ya kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel inaonesha kiwango kikubwa cha kujidhalilisha na kujisalimisha kwa maadui wa Umma wa Kiislamu.
-
Hatua za Marekani katika vita dhidi ya Yemen; kuunga mkono vita na kuiwekea vikwazo Ansarullah
Dec 13, 2020 02:04Katika kuendelea na hatua zake za kiuhasama dhidi ya Sana'a, serikali ya Marekani imewawekea vikwazo viongozi watano wa Yemen.