-
Hizbullah ya Iraq: Muqawama utaendelea kulitetea taifa la Palestina kwa roho na mali
Dec 12, 2020 22:17Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesema, wafanya mapatano wa Kiarabu wasio na irada hawana uwezo wa kuzifuta haki za taifa la Palestina na ikasisitiza kwamba, muqawama utaendelea kulihami na kulitetea taifa la Palestina kwa roho na mali.
-
Hizbullah ya Lebanon yalaani kuanzishwa uhusiano wa Israel na Morocco
Dec 12, 2020 04:22Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali 'mapatano' ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Morocco na utawala haramu wa Israel.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu yalaani hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 11, 2020 23:29Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imelaani vikali hatua ya nchi ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Wazayuni waendelea kuchimba mashimo na kubomoa Msikiti wa Al-Aqswa
Dec 11, 2020 23:29Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea KATIKA msikiti huo mtakatifu ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Ansarullah yalaani hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 11, 2020 04:13Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani hatua ya ufalme wa Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina walaani hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 11, 2020 00:02Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina zimelaani vikali hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati
Dec 10, 2020 23:26Marekani daima imekuwa ikitumia porojo kulioonesha eneo la Asia Magharibi kwamba, linakabiliwa na ukosefu wa amani na kueneza chuki dhidi ya Iran sambamba na kuionyesa mbele ya macho ya mataifa ya eneo hili kwamba, ni tishio ili kwa njia hiyo ijiandalie uwanja wa kuziuzia silaha nchi za Ukanda wa kusini mwa Ghuba ya Uajemi.
-
Ugomvi baina ya nchi nne za Kiarabu na Qatar hauna dalili za kumalizika
Dec 10, 2020 23:25Ugomvi baina ya nchi nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri dhidi ya nchi ndogo ya Qatar hauna dalili ya kumalizika baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri kutoa matamshi makali dhidi ya siasa za mambo ya nje za Doha.
-
Shirika la ndege la Bahrain latiliana saini mikataba mitano na Israel
Dec 10, 2020 23:25Shirika la ndege la ukoo wa kifalme wa Aal Khalifa nchini Bahrain, umetia saini mikataba mitano na mashirika na taasisi mbalimbali za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao mikono yake imejaa damu za wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Hashdu Sha'abi yaanza oparesheni mpya dhidi ya masalia ya Daesh mkoani Salahuddin, Iraq
Dec 10, 2020 08:42Sambamba na kumbukumbu ya kutimia mwaka wa tatu tangu Iraq ipate ushidni dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo; vikosi vya Harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq Hashdu Sha'abi vimeanza oparesheni mpya katika mkoa wa Salahuddin mashariki mwa Iraq. Lengo la oparesheni hiyo mpya ni kuwasaka mabaki ya mamluki wa kundi la kigaidi la Daesh.