-
Hashdu Sha'abi yaanza oparesheni mpya dhidi ya masalia ya Daesh mkoani Salahuddin, Iraq
Dec 10, 2020 08:42Sambamba na kumbukumbu ya kutimia mwaka wa tatu tangu Iraq ipate ushidni dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo; vikosi vya Harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq Hashdu Sha'abi vimeanza oparesheni mpya katika mkoa wa Salahuddin mashariki mwa Iraq. Lengo la oparesheni hiyo mpya ni kuwasaka mabaki ya mamluki wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Yemen
Dec 10, 2020 04:45Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.
-
Maulamaa wa Muqawama wasisitiza kudumishwa mapambano dhidi ya maadui
Dec 09, 2020 22:00Jumuiya ya Kimataifa ya Maulama wa Muqawama imesisitiza udharura wa kuendelezwa mapambano ya makundi ya muqawama dhidi ya senario za chuki za maadui dhidi ya ulimwengu wa Kiislamu.
-
Ansarullah Yemen: Marekani chanzo kikuu cha mauaji ya wananchi wa Yemen
Dec 09, 2020 04:41Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa Marekani ni chanzo kikuu cha jinai zinazofanywa na Saudi Arbia dhidi ya watu wa Yemen.
-
Imarati yasaini mkataba wa kununua bidhaa zinazotengenezwa katika vitongoji vya Wazayuni
Dec 09, 2020 04:16Umoja w Falme za Kiarabu (Imarati) umesaini mkataba mpya wa kununua bidhaa zinazotengenezwa katika vitongoji vya walowezi Kizayuni vilivyojengwa kwenye ardhi walizoporwa Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hizbullah: Tawala za Kiarabu katika eneo hazijawahi kuwa pamoja na Palestina
Dec 08, 2020 08:45Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tawala za Kiarabu zinazotenda jinai katika Mashariki ya Kati hazijawahi kuwa pamoja na Palestina wala kuunga mkono muqawama.
-
Wananchi wa Saudi Arabia waghadhibishwa na kubomolewa msikiti wa Washia huko Al Awamiyah
Dec 08, 2020 08:40Wananchi wa Saudi Arabia wametangaza katika mitandao ya kijamii kughadhibishwa na kitendo cha utawala wa Aal Saud cha kubomoa msikiti wa Imam Hussein A.S huko Al Awamiyah nchini humo.
-
Kuzingirwa Gaza na taathira zake katika kuenea corona
Dec 08, 2020 07:26Wizara ya Afya ya Ukanda wa Gaza ambao unaendelea kuzingirwa pande zote na utawala ghasibu wa Israel, imetangaza kwamba maabara makuu ya ukanda huo yamefungwa kutokana na kutokuwa na suhula na vifaa vya kufanyia vipimo vya corona.
-
Utawala wa Saudia wabomoa Msikiti wa Imam Hussein AS katika mji wa Qatif
Dec 07, 2020 08:56Mamlaka husika nchini Saudi Arabia zimebomnoa msikiti mashuhuri wa Imam Hussein AS katika mji wa al-Awamiyah uliopo katika mkoa wa Qatif.
-
Kufanyika kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan
Dec 07, 2020 05:49Washiriki wa kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan wametilia mkazo kutumiwa fursa za ndani kwa ajili ya kufikia suluhu na kupatikana amani nchini humo badala ya kuwategemea wageni.