-
Hamas yailaani Israel kwa kumuua kijana Mpalestina
Dec 06, 2020 21:50Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel kumuua shahidi kijana Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 14.
-
Emir wa Kuwait akubali hatua ya serikali kujiuzulu
Dec 06, 2020 21:47Emir wa Kuwait Sheikh Nawaf Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah ameafiki hatua ya kujiuzulu serikali ya nchi hiyo. Kujiuzulu serikali nchini Kuwait ni jambo la kawaida ambalo hufanyika baada ya uchaguzi. Siku ya Jumamosi uchaguzi wa bunge ulifanyika nchini Kuwait.
-
Az-Zahar: Kuwa na uratibu wa kiusalama na Israel ni kuisaliti Palestina
Dec 06, 2020 04:35Mahmoud Az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, watu wanaoitakidi kwamba, kuwa na uratibu wa kiusalama na Israel ni mkakati wa kitaifa wanaisaliti ardhi ya Palestina, watu wake na matukufu yake.
-
Mwanaharakati mwanamke wa Saudia sasa atuhumiwa kufanya ujasusi dhidi ya nchi hiyo
Dec 06, 2020 03:46Mwanaharakati mwanamke mtetezi wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia ambaye amefungwa jela kwa kupigania kuondolewa marufuku ya wanawake kuendesha gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya kufanya ujasusi kwa manufaa ya baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Massoud Shajareh: upo ulazima wa kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni katika eneo
Dec 05, 2020 23:14Mwenyekiti wa Kamisheni ya Kimataifa ya Haki za Binadamu za Kiislamu (IHRC) yenye makao yake London nchini Uingereza amesisitiza juu ya ulazima wa kukabiliana na njama za utawala haramu za Kizayuni katika eneo ikiwemo kusitisha mapatano na utawala huo.
-
Chuki za viongozi wa Saudia kwa Ikhwanul Muslimin, zazidi kuwa kubwa
Dec 05, 2020 21:14Duru za kuaminika zimetangaza habari ya kuongezeka sana chuki za viongozi wa Saudi Arabia dhidi ya chama cha al Islah, tawi la kundi la Ikhwanul Muslimin, licha ya kwamba pande hizo mbili zimekuwa zikishirikiana kwa miaka mingi sasa katika vita dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Saudia: Ni ndoto yetu ya muda mrefu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 05, 2020 09:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameeleza bayana kuwa kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni sehemu ya ndoto ya muda mrefu ya kisiasa ambayo wamekuwa nayo viongozi wa utawala wa Aal Saud.
-
Oman yapinga Ansarullah ya Yemen kuwekwa kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Dec 05, 2020 09:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amepinga pendekezo la serikali ya Marekani la kuiweka harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuiita kundi la kigaidi moja ya pande kuu zinazopigana nchini Yemen hakusaidii kutatua mgogoro wa nchi hiyo.
-
Israel kufungua ubalozi nchini Bahrain kabla ya kumalizika mwezi huu wa Disemba
Dec 05, 2020 04:13Tovuti moja ya utawala haramu wa Israel imetangaza kuwa, Tel Aviv imeshaandaa mipango ya kufungua ubalozi wake nchini Bahrain kabla ya kumalizika mwezi huu wa Disemba.
-
Doha: Hakuna uhusiano wowote baina ya kutatuliwa mgogoro wa Qatar na kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 05, 2020 00:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amesema kuwa, nchi yake ina matumaini na suala la kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Ghuba ya Uajemi, lakini haiwezekani kuyapatia utatuzi matatizo yote kwa muda wa siku moja.