-
Netanyahu na Pompeo wafanya ziara ya siri kwa wakati mmoja huko Saudia
Nov 23, 2020 09:14Duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya maafisa wa Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) wamefanya ziara ya siri kwa wakati mmoja na Mike Pompeo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani nchini Saudi Arabia.
-
Saudi Arabia na kikao cha G20
Nov 23, 2020 06:10Saudia Arabia hivi karibuni imekuwa mwenyeji wa kikao cha siku mbili cha viongozi wa kundi la G20.
-
HAMAS yaonya kuhusu kuendelea mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza
Nov 23, 2020 04:43Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na matokeo mabaya ya kuendeleza mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza sambamba na kushadidishwa hujuma na mashambulio dhidi ya eneo hilo.
-
Waziri Mkuu wa Morocco: Wamorocco wanaiunga mkono Palestina kwa karne kadhaa sasa
Nov 23, 2020 01:00Waziri Mkuu wa Morocco amesema kuwa wananchi wa Morocco wanaiunga mkono Palestina kwa karne kadhaa sasa.
-
Bunge la Iraq: Serikali inapasa kuwasilisha matokeo ya uchunguzi kuhusu mauaji ya Kamanda Suleimani
Nov 23, 2020 00:56Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq imeripoti kuwa inaendelea kuishinikiza serikali ya nchi hiyo ili iwasilishe haraka iwezekanavyo matokeo ya uchunguzi kuhusu mauaji ya Kamanda Luteni Jenerali Qassim Suleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Kambi ya kukabiliana na usaliti wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel yaasisiwa Lebanon
Nov 22, 2020 08:59Shakhsia kadhaa wa Kiislamu, kisiasa na wa vyombo vya habari nchini Lebanon wametangaza kuwa wameanzisha kambi ya kukabiliana na hatua ya kihaini ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Saudia yakiri tena hadharani kuwa inauunga mkono utawala wa Kizayuni
Nov 22, 2020 02:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amekiri tena hadharani kwamba nchi yake inaunga mkono kuwa na uhusiano kamili wa kawaida na utawala dhalimu wa Israel.
-
Afisa wa UAE akiri nchi hiyo imekuwa na uhusiano wa siri na Israel tangu miaka kadhaa nyuma
Nov 22, 2020 00:43Mkuu wa usalama wa mitandao wa serikali ya Imarati amekiri kuwa, kwa miaka kadhaa, nchi hiyo imekuwa na ushirikiano na mashirika ya usalama wa mitandao ya intaneti ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ubalozi wa Marekani Iraq ndio pekee duniani unaolindwa kwa mtambo wa makombora ya ulinzi wa anga
Nov 22, 2020 00:42Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, ubalozi wa Marekani nchini humo ndio ubalozi pekee duniani unaolindwa kwa mtambo wa makombora ya ulinzi wa anga.
-
Afisa wa Yemen; Saudi Arabia imekusudia kuukabidhi mkoa wa Abyan kwa magaidi wa al Qaida
Nov 21, 2020 08:31Gavana wa mkoa wa Abyan huko Yemen amesema kuwa Saudi Arabia inafanya kila inaloweza kuukabidhi mkoa wa Abyan kwa mtandao wa kigaidi wa al Qaida.