-
Riyadh al-Maliki: Uungaji mkono wa Marekani kwa bidhaa za walowezi wa Kizayuni ni jinai za kivita
Nov 21, 2020 04:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Palestina amesema kuwa, hatua ya serikali ya Marekani ya kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni jinai za kivita.
-
Jeshi la Israel limeua watoto 3,000 wa Palestina tokea Intifadha ya 2
Nov 20, 2020 23:06Wizara ya Habari ya Palestina imeripoti kuwa, maelfu ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi mikononi mwa askari katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel tangu ilipoanza Intifadha ya Pili ya Palestina hadi sasa.
-
Ushirikiano wa genge la kigaidi la ISIS na Marekani wazidi kufichuliwa
Nov 20, 2020 23:04Televisheni moja ya Iraq imesambamba nyaraka mpya zinazoonesha kuweko ushirikiano mkubwa baina ya genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na Shirika la Kijasusi la Marekani, CIA.
-
Utayari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wa kuzungumza na kushirikiana na Israel
Nov 20, 2020 23:04Mohammad Shtayyeh, Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa mamlaka hiyo uko tayari kuanzisha tena mazungumzo na ushirikiano wa masuala ya usalama na utawala haramu wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa wapasisha azimio la haki ya Wapalestina ya kujiainisha hatima yao
Nov 20, 2020 04:17Umoja wa Mataifa umepasisha azimio linalotilia mkazo haki walionayo Wapalestina ya kujiainishia hatima na mustakabali wao.
-
Malengo ya safari ya ujumbe wa kwanza rasmi wa Bahrain katika ardhi za Palestina
Nov 20, 2020 03:34Ujumbe wa kwanza rasmi wa Bahrain umetembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, ukiongozwa na Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
-
Kamati za Muqawama Palestina: Watawala wa Bahrain wamelisaliti taifa la Palestina
Nov 20, 2020 03:27Msemaji wa Kamati za Muqawama za Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Bahrain katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na zilizopewa jina bandia la Israel.
-
Mashambulizi ya jeshi la Marekani yameua raia 13,000 Syria na Iraq
Nov 20, 2020 00:09Shirika lisilo la kiserikali la Airwars lenye makao yake mjini London Uingereza limeripoti kuwa, raia wasiopungua 13,000 wa Syria na Iraq wameuawa katika mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh wa Marekani katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
-
Hamas: Ushirikiano wa Serikali ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni ni kinyume na mapatano ya kitaifa
Nov 19, 2020 07:38Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameitaja hatua ya kuanza tena uhusiano baina ya Serikali ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni kuwa ni kinyume na mapatano ya kitaifa.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Pakistan nchini Afghanistan; fursa ya kuimarisha uhusiano wa nchi mbili
Nov 19, 2020 04:28Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan leo amefanya ziara ya siku moja ya kuitembelea Afghanistan kufuatia mwaliko rasmi aliopewa na Rais Ashraf Ghani wa nchi hiyo. Imeelezwa kwamba katika ziara yake hiyo ya siku moja, Waziri Mkuu wa Pakistan atafanya mazungumzo na kubadilishana mawazo na viongozi wa Kabul kuhusu amani ya nchi hiyo na namna ya kustawisha ushirikiano wa kisiasa, kiusalama na kiuchumi kati ya nchi mbili.