-
Kushindwa Mustapha Adib kuunda serikali nchini Lebanon; sababu na matokeo yake
Sep 27, 2020 04:15Waziri Mkuu wa Lebanon, Mustapha Adib ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya kushindwa kuunda serikali na tayari Rais Michel Aoun amekubali kujiuzulu kwake.
-
Meya wa New York awataka mamea wenzake kususia mkutano wa "Urban 20" kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu Saudia
Sep 27, 2020 01:11Meya wa jiji la New Yorkk nchini Marekani amesema kuwa atasusia mkutano wa "Urban 20" wa mameya wa miji mikubwa ya nchi wanachama katika kundi la G20 uliopangwa kufanyika nchini Saudia ili kupinga ukiukaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyofanywa na utawala huo dhidi ya mwandishi habari Jamal Khashoggi.
-
Hamas: Maghasibu watafukuzwa katika ardhi ya Palestina
Sep 27, 2020 01:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, utawala haramu wa Israel utafukuzwa katika ardhi inayokaliwa kwa mabavu ya Palestina.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu baada ya kushindwa kuunda serikali
Sep 26, 2020 08:46Waziri Mkuu wa Lebanon, Mustapha Adib ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya kushindwa kuunda serikali.
-
HAMAS: Kuendelea ujenzi haramu wa vitongoji kumekashifu uongo wa Waarabu wafanyamapatano
Sep 26, 2020 04:38Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuidhinisha mradi wa ujenzi wa maelfu ya nyumba mpya katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ni ithibati ya uongo wa madai uliyotoa utawala huo ya kusitisha mpango wake wa kulimega eneo hilo.
-
Pompeo atishia kufunga ubalozi wa Marekani nchini Iraq endapo utaendelea kushambuliwa
Sep 26, 2020 04:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ametoa vitisho kwa viongozi wa Iraq kwamba Washington inaweza kuamua kuufunga ubalozi wake ulioko mjini Baghdad.
-
Hotuba ya Amir wa Qatar katika Baraza Kuu la UN; ukosoaji wa wazi wa mapatano na Israel
Sep 25, 2020 22:59Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani amelaani hatua za Israel dhidi ya Palestina na akaeleza kwamba jamii ya kimataifa imeshindwa kukabiliana na "ukichwangumu" wa Israel.
-
Algeria: Kadhia ya Palestina ni jambo tukufu; hatuungi mkono kuanzishwa uhusiano na Israel
Sep 25, 2020 07:47Msemaji wa serikali ya Algeria amesema kuwa, kadhia ya Palestina ni jambo tukufu na kueleza kwamba, Algiers inaitambua Palestina kuwa miongoni mwa masuala yake muhimu.
-
Qatar nayo yakataa kuchukua uwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Sep 25, 2020 07:47Serikali ya Qatar imekataa kuchukua uwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League badala ya Palestina ambayo nayo ilikataa uwenyekiti huo ikilalamikia hatua ya baadhi ya mataifa ya jumuiya hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Hamas: Muamala wa Karne umekuwa chachu ya kuimarika harakati za mapambano za Palestina
Sep 25, 2020 03:25Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa njama ya Muamala wa Karne na uhasama unaofanywa dhidi ya Palestina vimekuwa chachu ya kukurubiana zaidi harakati na makundi ya kupigania ukombozi ya Palestina.