-
Hotuba ya Mfalme Salman katika Baraza Kuu la UN; hasira na chuki mkabala wa uwezo mkubwa wa Iran
Sep 24, 2020 23:06Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz Al Saud amekariri madai yake yasiyo msingi dhidi ya Iran katika hotuba yake kwenye kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Imarati yafanya biashara na mashirika ya Kizayuni yaliyoko kwenye orodha nyeusi ya UN
Sep 24, 2020 23:03Mashirika kadhaa ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE yamesaini mkataba wa ushirikiano na mashirika na makampuni ya Kizayuni yaliyoko kwenye orodha nyeusi ya Umoja wa Mataifa kwa kuunga mkono ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Walebanon waandamana dhidi ya hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 24, 2020 08:29Maelfu ya wananchi wa Lebanon wameandamana katika mji mkuu Beirut na kutangaza upinzani wao dhidi ya hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
HAMAS: Mpango wa Israel wa kupora ardhi za Ukingo wa Magharibi utagonga mwamba
Sep 24, 2020 08:29Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, njama za Marekani na utawala haramu wa Israel za kutaka kutwaa ardhi zaidi katika Ukingo wa Magharibi na kuziunganisha na ardhi nyingine zilizoghusubiwa za Palestina zitashindwa na kugonga ukuta.
-
Shambulizi la kombora la Yemen dhidi ya kambi ya kijeshi ya Saudia laua 10
Sep 24, 2020 03:39Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi limetekeleza shambulizi la ulipizaji kisasi dhidi ya kambi ya kijeshi ya Saudi Arabia na kuua kwa uchache watu 10.
-
Muhammad Abdulsalam; tawala za Saudia na Imarati zinaua Wayemen kwa niaba ya Wazayuni
Sep 23, 2020 08:55Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa madhali tawala za Saudia na Imarati zinapigana kwa niaba ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutumia mamilioni ya dola kwa ajili ya kuutumikia utawala huo dhalimu; basi utawala huo wa Kizayuni kamwe hautokuwa na haja ya kuingia moja kwa moja katika vita vyovyote vya eneo hili.
-
Mapitio ya sababu za kutokea Mapinduzi ya Yemen ya Septemba 21
Sep 23, 2020 04:33Sayyid Abdul-Malik Badruddin al-Houthi, Kiongozi wa Ansarullah ya Yemen amesema, Mapinduzi ya Septemba 21 yalikuwa mwanzo wa kuondokana na zama zilizopita za giza na kupiga hatua mbele kuelekea kwenye ujenzi wa mustakabali unaoendana na misingi na thamani za watu wa Yemen.
-
Amir wa Qatar na Mfalme wa Jordan wataka kuundwa taifa huru la Palestina
Sep 23, 2020 03:43Amir wa Qatar na Mfalme wa Jordan wamesisitiza udharura wa kuundwa taifa huru la Palestina, huku wakikosoa kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa ukaliaji mabavu wa ardhi za Wapalestina.
-
HAMAS yaipa Israel miezi 2 ihitimishe mzingiro wa Gaza
Sep 22, 2020 22:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeupa utawala wa Kizayuni wa Israel muhula wa miezi miwili wa kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Saudia, Imarati, Israel; zashirikiana kuchochea machafuko nchini Iraq
Sep 22, 2020 08:07Mbunge mmoja nchini Iraq amefichhua njama zinazofanywa na Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala wa Kizayuni wa Israel, za kuzusha machafuko nchini Iraq.