-
Palestina yakataa kuchukua uwenyekiti wa Arab League
Sep 22, 2020 08:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa mamlaka hiyo imeamua kusamehe haki yake ya kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Mapinduzi ya Septemba 21 ya wananchi wa Yemen yalikuwa mwanzo wa kuondokana na giza la huko nyuma
Sep 22, 2020 04:13Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa mapinduzi ya tarehe 21 Septemba nchini humo yalikuwa mwanzo wa kupatikana njia ya kujiondoa katika giza la huko nyuma na hatua ya kujenga mustakbali kwa mujibu wa thamani na misingi ya watu wa Yemen.
-
Umoja wa Mataifa na siku 2000 za vita vya Yemen
Sep 21, 2020 23:15Vita vya kivamizi vilivyoanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi maskini ya Kiislamu ya Yemen vimeshapindukia siku 2000. Matunda ya vita hivyo vya kidhalimu ni maafa makubwa ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu. Amma swali muhimu linalojitokeza hapa ni kwamba, Umoja wa Mataifa umefanya nini kuhusu vita hivyo katika kipindi hiki cha zaidi ya siku 2000 za tangu kuanzishwa kwake?
-
Khatibu wa Msikiti wa al Aqswa: Ni haramu kuimba "wimbo wa taifa" wa Israel
Sep 21, 2020 23:07Khatibu wa Msikiti wa al Aqswa ambaye pia ni Rais wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Mji wa Quds (Jerusalem) amesema kuwa ni haramu kwa Waislamu kuimba wimbo wa taifa wa Israel.
-
Maandamano dhidi ya Benjamin Netanyahu yaendelea kushuhudiwa
Sep 21, 2020 04:35Maelfu ya wakazi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) usiku wa jana walifanya maandamano makubwa na kukusanyika mbele ya makao ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na kutoa wito wa kujizulu kiongozi huyo.
-
Rais Tebboune: Algeria katu haitafuata mkumbo wa Imarati na Bahrain wa kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 21, 2020 04:35Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza kuwa, nchi yake inapinga vikali hatua zozote zile zenye lengo la kuanzisha uhusiano na utawala vamizi wa Israel unaotenda jinai kila leo dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki
Sep 20, 2020 23:46Baadhi ya duru zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi Mohammad bin Zayed amefanya mashauriano na Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon juu ya mpango wa kukihamishia Imarati kituo cha anga cha jeshi la Marekani cha Incirlik kilichoko nchini Uturuki.
-
Vurugu na machafuko Asia Magharibi; natija ya sera za Marekani
Sep 20, 2020 22:56Marekani kwa mara nyingine tena imetoa taarifa ikiituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba, eti inazusha vurugu na machafuko katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mirengo ya siasa Kuwait yakanusha kujiunga na mkumbo wa kutangaza uhusiano na Wazayuni
Sep 20, 2020 06:51Mirengo mbalimbali ya kisiasa ya Kuwait imekanusha madai ya rais wa Marekani, Donald Trump aliyedai kuwa nchi hiyo nayo itajiunga karibuni hivi katika mkumbo wa kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni.
-
Yaliyomo kwenye mpango wa Marekani wa kutaka kumuengua Mahmoud Abbas
Sep 20, 2020 03:31David Friedman, Balozi wa Marekani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) Alhamisi iliyopita alisema kuwa; Marekani inafikiria kumweka Mohammed Dahlan, kiongozi wa zamani wa harakati ya Fat-h kwenye uongozi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuchukua nafasi ya Mahmoud Abbas, rais wa sasa wa mamlaka hiyo.