-
Marekani yaendelea kupora mafuta ya Syria, malori 30 yahamishiwa Iraq
Sep 20, 2020 03:17Shirika rasmi la habari la Syria SANA limeripoti kuwa, askari wa jeshi la kigaidi la Marekani wameiba malori 30 ya mafuta ya nchi hiyo na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.
-
HAMAS: Tawala za Kiarabu zisikilize sauti za wananchi wao za kupinga kuanzisha uhusiano
Sep 20, 2020 02:49Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wameshaamka na wanaelewa hatari ya kufanya mapatano na utawala wa Kizayuni wa Israel na akasisitiza kuwa tawala za Kiarabu zinapaswa kusikiliza sauti za wananchi wa mataifa yao ambao wanapinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na maghasibu hao.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kundi la kigaidi la DAESH linajiimarisha upya kijeshi nchini
Sep 20, 2020 02:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametahadharisha kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) linajizatiti na kujiimarisha upya kijeshi ndani ya nchi hiyo.
-
Ansarullah: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuhudumia kampeni za uchaguzi wa rais za Trump
Sep 19, 2020 22:09Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imetangaza kuwa hatua ya nchi za Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel ni kumhudumia Donald Trump katika kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Wall Street Journal: Mfalme Salman ametofautiana na mrithi wake kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 19, 2020 22:08Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limefichua kuwa, kumetokea hitilafu kubwa na kali baina ya Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia na mrithi wake, Muhammad bin Salman baada ya mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya pande hizo mbili.
-
Palestina: Mpango wa kutaka kumuondoa madarakani Mahmoud Abbas ni ishara ya kufilisika Marekani
Sep 18, 2020 23:59Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, matamshi ya balozi wa Marekani huko Tel Aviv dhidi ya Rais wa Mamlaka ya Ndani yanadhihirisha kuwa Marekani "imefilisika kisiasa".
-
Bunge la Ulaya: Saudi Arabia iwekewe vikwazo vya silaha kutokana na mauaji ya Khashoggi na Yemen
Sep 18, 2020 06:09Bunge la Ulaya limetaka utawala wa Saudi Arabia uwekewe vikwazo vya silaha kutokana na kuhusika na mauaji ya mwandishi habari na mkosoaji wa zamani wa utawala huo, Jamal Khashoggi na vilevile kwa kuua raia wasio na hatia katika vita vya Yemen.
-
Sababu za kutoundwa serikali ya Waziri Mkuu wa Lebanon Mustapha Adib
Sep 18, 2020 06:04Licha ya kupita majuma mawili tangu Mustapha Adib, Waziri Mkuu wa Lebanon akabidhiwe jukumu la kuunda serikali, lakini hadi sasa bado hajafanikiwa kutekeleza hilo.
-
Tofauti baina ya Mapatano ya Abraham, Camp David na Wadi Araba
Sep 18, 2020 03:40Nchi za Kiarabu zimesaini mapatano mara tatu na utawala wa Kizayuni wa Israel na ya hivi karibuni zaidi kati ya mapatano hayo ni yale yliyopewa jina la Mapatano ya Abraham (Abraham Accords) yaliyosainiwa tarehe 15 mwezi huu wa Septemba katika Ikulu ya Rais wa Marekani, White House. Mapatano hayo matatu yana tofauti kadhaa na muhimu.
-
Ansarullah ya Yemen: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel ni usaliti kwa Palestina
Sep 17, 2020 22:13Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni khiyana na usaliti wa wazi kwa taifa la Palestina.