-
Ustadh Muhammad Qassim atoa tathmini kuhusu kuanzishwa uhusiano na utawala haramu wa Israel+SAUTI
Sep 17, 2020 11:11Hatua ya kisaliti ya tawala za Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel imeendelea kukabiliwa na malalamiko na upinzani mkubwa katika maeneo mbalimbali ya Ulimwengu wa Kiislamu
-
Maulamaa wa Kiislamu wakosoa hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 17, 2020 08:44Wananchi na maulamaa katika nchi za Kiislamu wametangaza kuwa wanapinga kuanzishwa uhusiano rasmi na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa kufanya hivyo ni kuwasaliti Waislamu duniani.
-
"Muqawama hauna mistari myekundu katika vita dhidi ya Israel"
Sep 17, 2020 03:41Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema muqawama ni chaguo la Wapalestina wote dhidi ya utawala wa Kizayuni, na kwamba makundi ya mapambano hayana mistari myekundu katika vita dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Mapatano ya kuanzisha uhusiano na Israel ni dhambi isiyosameheka
Sep 17, 2020 01:27Nchi za Imarati na Bahran juzi Septemba 15 zilisaini mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Sherehe ya kutiwa saini mapatano hayo ilifanyika ikulu ya White House mjini Washington chini ya usimamizi wa Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Jihadul Islami: Muqawama ndio utakaowafurusha Wazayuni Palestina
Sep 16, 2020 21:51Mjumbe wa ngazi za juu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuwa, muqawama ndiyo njia pekee ya kuwatimua Wazayuni katika ardhi wanazozikalia kwa mabavu.
-
Al-Wifaq ya Bahrain: Makubaliano na utawala haramu wa Israel ni jinai ya kihistoria
Sep 16, 2020 06:48Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) amesema kuwa, kutiwa saini hati ya mapatano baina ya Bahrain, Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ni jinai ya kihistoria.
-
Bunge la Taifa la Palestina: Mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel hayatadhamini amani
Sep 16, 2020 03:18Bunge la Taifa la Palestina limetangaza kuwa, kufanya mapatano na utawala haramu wa Israel kamwe hakuwezi kuleta amani, utulivu na maendeleo katika eneo la magharibi mwa Asia.
-
Umoja wa Mataifa wasisitiza kuhitimishwa uvamizi wa utawala wa Kizayuni Palestina
Sep 16, 2020 03:13Baraza la Masuala ya Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio likiutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uhitimishe kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Haniya: Malengo matukufu ya Palestina hayatakuwa daraja la kufanyia mapatano na utawala wa Kizayuni
Sep 15, 2020 22:09Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, malengo matukufu ya watu wa Palestina hayatakuwa daraja la kufanyia mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
15 Septemba, siku ya ghadhabu ya Waarabu dhidi ya watawala vibaraka
Sep 15, 2020 10:42Imarati na Bahrain leo Jumanne zinatarajiwa kutia saini mapatano ya amani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ikulu ya Rais wa Marekani, White House, mjini Washington. Hatua hii imeyakasirisha sana mataifa ya Waislamu na Waarabu ambayo yameitaja kuwa ni usaliti dhidi ya Uislamu, Palestina na Quds tukufu.