-
Siku 2000 za vita vya muungano wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Sep 15, 2020 10:35Siku 2000 zimepita tangu muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ulipoanzisha vita dhidi ya Yemen. Licha ya kutokea maafa ya kibinadamu huko Yemen, lakini hadi sasa hakuna malengo ya kueleweka kwa ajili ya kuhitimisha vita hivyo.
-
Bunge la Ulaya lataka kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Imarati
Sep 15, 2020 07:30Bunge la Ulaya limetoa wito wa kupasishwa muswada wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Mwakilishi wa Hamas Tehran: Mapambano ndiyo njia pekee ya kushinda ubeberu
Sep 15, 2020 05:55Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amesema kuwa, mapambano na mshikamano wa Umma wa Kiislamu ndiyo njia pekee ya mataifa ya kuweza kuishinda Marekani na ubeberu wa kimataifa.
-
Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki
Sep 15, 2020 02:59Mahakama moja katika utawala wa Kizayuni wa Israel imetoa amri ya kubomolewa msikiti mmoja ulioko mashariki wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu
Sep 15, 2020 02:58Waziri Mkuu wa Palestina amesema ulimwengu wa Kiarabu leo Jumanne utashuhudia 'Siku Nyeusi' katika historia yake, kutokana na hafla itakayofanyika hii leo katika Ikulu ya White House ya Marekani ya kutiwa saini rasmi makubaliano ya kufanywa wa kawaida uhusiano wa nchi mbili za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.
-
Ansarullah ya Yemen: Saudia na Imarati zina nafasi haribifu katika eneo la Asia Magharibi
Sep 14, 2020 22:05Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuhusu hatari ya Saudi Arabia na Imarati na nafasi haribifu ya nchi hizo katika eneo la magharibi mwa Asia.
-
Hamas yatoa wito wa kuundwa muungano wa kimataifa wa kukabiliana na Marekani na Wazayuni
Sep 14, 2020 07:51Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito wa kunzishwa muungano wa kimataifa wa kukabiliana na muungano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Haniya: Marekani inajaribu kuanzisha njia za mazungumzo na Hamas
Sep 14, 2020 03:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Marekani imefungua njia za kuanzisha mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa harakati hiyo, ili kulishawishi kundi hilo liafiki kutekeleza mpango wa 'Muamala wa Karne.'
-
Mwito watolewa wa kuligeuza jengo la Arab League kuwa ukumbi wa harusi
Sep 14, 2020 02:32Wanaharakati wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii ya kutaka jengo la makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaliyoko nchini Misri ligeuzwe kuwa ukumbi wa harusi.
-
Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 14, 2020 02:03Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.