-
Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 14, 2020 02:03Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Ayatullah Sistani aunga mkono uchaguzi wa mapema wa Bunge nchinI Iraq
Sep 13, 2020 22:12Kiongozi mkuu wa kidini wa Iraq ametangaza uungaji mkono wake kwa uchaguzi wa mapema wa bunge ambao ni miongoni mwa matakwa muhimu ya waandamanaji ambao wanaendelea kufanya maandamano kwa miezi kadhaa sasa tangu mwaka jana dhidi ya ufisadi na hali mbaya ya uchumi nchini Iraq.
-
Palestina: Jumanne ijayo ni siku ya upinzani wa kimataifa dhidi ya kuwa na uhusiano na Israel
Sep 13, 2020 22:12Kamati ya Uongozi wa Makundi ya Mapambano ya Ukombozi wa Palestina imeitangaza siku ya Jumanne ijayo kuwa ni siku ya upinzani wa walimwengu dhidi ya hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Machaguo iliyonayo Palestina kwa ajili ya kukabiliana na kuanzishwa uhusiano na Israel
Sep 13, 2020 22:06Baada ya Imarati na Bahrain kuutambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala huo ghasibu unaoikalia Quds tukufu kwa mabavu, suali linaloulizwa hivi sasa ni, hatua gani Palestina inaweza kuchukua kwa ajili ya kukabiliana na mwenendo huo?
-
Wabahrain waandamana kupinga makubaliano ya kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel
Sep 13, 2020 08:20Wananchi wa Bahrain leo wamejitokeza kwa wingi katika maandamano ya kupinga hatua ya utawala wa nchi hiyo ya kufikia makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.
-
Picha za watawala wa Bahrain na Imarati zachomwa moto Ghaza, Palestina
Sep 13, 2020 03:11Wakazi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina wamechoma moto picha za watawala wa Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutokana na nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah: Wananchi wa Lebanon hawatobadilika kwa sababu ya vikwazo vya Marekani
Sep 12, 2020 21:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za vikwazo za Marekani haziwezi kuwafanya wananchi wa Lebanon walegeze kamba na kubadilisha msimamo wao.
-
Silaha za Marekani-Uingereza sababu ya kuendelea vita huko Yemen
Sep 12, 2020 21:52Kukaririwa madai yasiyo na uthibitisho na yasiyo na msingi dhidi ya Iran liimekuwa jambo la kawaida kwa tawala za kibeberu hususan Marekani katika miaka ya hivi karibuni.
-
Jordan: Ufunguo wa amani Asia Magharibi ni kutoghusubiwa ardhi za Wapalestina
Sep 12, 2020 06:57Jordan imesema njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na kupatikana amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi ni kukomesha mienendo ya utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora na kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Mapatano ya Aal Khalifa na utawala wa Kizayuni, chachu ya mapambano ya wananchi wa Bahrain
Sep 12, 2020 06:31Ikiwa umepita karibu mwezi mmoja tangu Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel zifikie mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia, Rais Doald Trump wa Marekani ametangaza kwamba Bahrain na utawala wa Kizayuni pia zimekubaliana kuanzisha uhusiano kama huo.