-
Moscow: Magaidi wa Jabhatu Nusra wanapanga kufanya mashambulizi ya kemikali Syria
Sep 12, 2020 03:48Wizara ya Ulinzi ya Russia imetahadharisha kuwa, kundi la kigaidi la Jabhatu Nusra linajitayarisha kufanya mashambulizi ya silaha za kemikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Ansarullah yataka kuundwa muungano wa Kiislamu wa kupinga uhusiano na Israel
Sep 12, 2020 02:26Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah ametoa wito wa kuundwa muungano wa Kiislamu dhidi ya hatua yoyote ya kuanzishwa uhusiano baina ya nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.
-
Wapalestina, Wabahrain walaani; Misri, UAE zakaribisha Bahrain kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 11, 2020 23:25Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE zimekaribisha kuanzishwa uhusiano rasmi wa kidiplomasia kati ya Bahrain na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Umuhimu wa mashambulizi ya Ansarullah dhidi ya mji wa Abha huko Saudi Arabia
Sep 11, 2020 20:10Katika siku za karibuni jeshi na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen wamekuwa wakishambulia uwanja wa ndege wa Abha katika mkoa wa Asir huko kusini mwa Saudi Arabia kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drone).
-
Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?
Sep 11, 2020 03:06Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi na kusisitiza wakati wa kampeni zake za uchaguzi kwamba, endapo atachaguliwa kuwa Rais basi atayaondoa majeshi ya nchi hiyo yaliyopo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ripoti:Trump alijigamba kumkingia kifua Bin Salman baada ya mauaji ya Khashoggi
Sep 11, 2020 02:35Rais Donald Trump wa Marekani alijisifu na kuona fahari kumkingia kifua Muhammad bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, baada ya mauaji ya kikatili ya Jamal Khashoggi, aliyekuwa mwandishi habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud mwaka 2018.
-
Ismail Haniya: Kutolaani kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel ni kuhudumia maslahi ya Wazayuni
Sep 11, 2020 00:15Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kupingwa muswada wa Palestina kuhusu kulaaniwa uanzishaji uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni kuhudumia maslahi ya utawala huo ghasibu.
-
Ansarullah ya Yemen yapiga kwa kombora, droni maeneo ya kistratajia Riyadh, Saudia
Sep 11, 2020 00:15Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelenga kwa kombora la balestiki na ndege zisizo na rubani (droni) maeneo ya kistratajia ndani ya mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
"Arab League ni wenzo tu wa nchi za wasaliti"
Sep 10, 2020 07:12Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina imesema kuwa, Jumuiya ya Nchi za Kiarbu (Arab League) ni wenzo tu unaotumiwa na nchi za wasaliti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya kisaliti.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na udhaifu katika kutetea maslahi ya Waarabu
Sep 10, 2020 06:26Kikao cha Jumatano ya jana cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiarabu (Arab League) kilichofanyika kwa njia ya video, kilimaliza kazi zake kwa kuunga mkono mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na Israel.