-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na udhaifu katika kutetea maslahi ya Waarabu
Sep 10, 2020 06:26Kikao cha Jumatano ya jana cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiarabu (Arab League) kilichofanyika kwa njia ya video, kilimaliza kazi zake kwa kuunga mkono mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na Israel.
-
HAMAS na Jihadul-Islami zakosoa msimamo wa Arab League kuhusu uanzishaji uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 09, 2020 23:26Harakati kuu za muqawama Palestina za HAMAS na Jihadul-Islami zimekosoa msimamo wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wa kukataa kupitisha rasimu ya azimio iliyopendekezwa na Palestina ya kulaani uamuzi wa Imarati wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mufti wa kundi la kigaidi la Daesh atiwa mbaroni Kirkuk, Iraq
Sep 09, 2020 20:45Vikosi vya usalama vya Iraq vimemtia mbaroni Mufti wa kundi la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Mtifuano wa ana kwa ana kati ya Palestina na asasi za Waarabu kuhusu Makubaliano ya Abraham
Sep 09, 2020 09:06Kikao cha leo cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League kimefanyika wakati msimamo ulioonyeshwa na jumuiya hiyo pamoja na Baraza Kuu la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi GCC, hususan katika siku za karibuni kuhusu mapatano yaliyofikiwa kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel umethibitisha kuwa, tajiriba ya uchukuaji maamuzi kitaasisi katika Ulimwengu wa Kiarabu imefeli;
-
Ismail Hania: Mapambano ndio chaguo bora la kukabiliana na wavamizi
Sep 09, 2020 03:36Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, muqawama na mapambano ndio njia bora na athirifu kwa ajili ya kukabiliana na utawala haramu wa Israel.
-
Migongano katika yasemwayo na yatendwayo na utawala wa Aal Saud kuhusu suala la kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 08, 2020 02:45Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amesema katika mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Rais Donald Trump wa Marekani kwamba kuundwa nchi huru ya Palestina ndilo sharti la nchi yake kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Imamu wa msikiti wa Makka akasirisha Waislamu kwa kutumia minbari ya Ijumaa 'kujuzisha' uhusiano na Israel
Sep 07, 2020 22:07Shekhe Abdul Rahman al-Sudais, Imamu wa Msikiti mtukufu wa Makka ameshambuliwa vikali na Waislamu katika mitandao ya kijamii kufuatia hotuba yake aliyotoa katika Sala ya Ijumaa ambayo imetafsiriwa kama hukumu ya kuhalalisha Saudi Arabia na nchi zingine za Kiarabu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mfalme wa Saudia atoa sharti kwa Marekani kabla nchi yake kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 07, 2020 09:48Mfalme Salman bin Abdul-aziz wa Saudi Arabia amesema, nchi yake itaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa sharti la kuundwa kwanza nchi huru ya Palestina.
-
Hamas: Jamii ya kimataifa ichukue hatua za kuokoa mateka wa Kipalestina katika jela za Israel
Sep 07, 2020 02:06Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaka jamii ya kimataifa na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu dunia kuchukua hatua za maana za kuokoa maisha ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel ambao wanakabiliwa na hatari ya maambukizi ya virusi vya corona.
-
Palestina yasisitiza kuvunja uhusiano na nchi zitakazohamishia balozi zao Baitul Muqaddas
Sep 06, 2020 23:05Katibu Mkuu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema, Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina itavunja uhusiano na nchi zitakazo hamishia balozi zao katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).