-
Mazungumzo baina ya viongozi wawili wa muqawama, mshikamano wa kambi ya muqawama dhidi ya kambi ya mapatano na Israel
Sep 06, 2020 22:05Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameonana ana kwa ana na Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kuzungumza naye mambo muhimu yanayohusiana na kambi ya muqawama.
-
Ismail Haniya: Kambi za wakimbizi wa Kipalestina ni ngome za muqawama
Sep 06, 2020 06:54Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kambi za wakimbizi wa Kipalestina ni ngome za muqawama na kwamba, mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne katu hautafanikiwa kufikia malengo yake.
-
Amir-Abdollahian: Palestina ni kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu kwa wananchi wa Asia Magharibi
Sep 06, 2020 06:53Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, wananchi wa Asia Magharibi wanaitambua Palestina kama kadhia ya kwanza katika Ulimwengu wa kiislamu kinyume na watawala wao.
-
Hamas yakanusha madai ya kukamatwa wanachama wake 2 na Marekani
Sep 06, 2020 03:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekadhibisha vikali madai kwamba Marekani imewatia mbaroni watu wawili wenye mfungamano na harakati hiyo.
-
Harakati ya PFLP yataka kutimuliwa Imarati katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Sep 05, 2020 21:56Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina (PFLP) amesema kuwa, hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel inakinzana na uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu hivyo ametoa wito wa kutimuliwa nchi hiyo sambamba na kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo.
-
Imarati kufungua ubalozi wake Israel ndani ya miezi 5
Sep 05, 2020 06:53Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu amesema nchi hiyo inatazamiwa kufungua ubalozi ndani ya utawala haramu wa Israel katika kipindi cha kati ya miezi mitatu hadi mitano.
-
Erakat: Palestina imekuwa mhanga wa malengo ya uchaguzi ya Donald Trump
Sep 05, 2020 03:31Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa Palestina imekuwa mhanga wa malengo ya uchaguzi wa Rais ya Donald Trump huko Marekani.
-
Shirika haki za binadamu Yemen lalaani jinai za muungano wa Saudia-Marekani
Sep 05, 2020 03:02Shirika la kutetea Haki za Wanawake na Watoto wa Yemen, Intisaf kwa kifupi, limelaani vikali uhalifu na jinai zinazoendelea kufanywa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia na Marekani dhidi ya watoto wa Yemen katika eneo la Mahila mkoani Ma'rib.
-
Kikao cha kiistratijia cha Beirut, sauti moja ya Wapalestina
Sep 05, 2020 01:53Makundi ya Palestina yameitisha kikao cha pamoja mjini Beirut, Lebanon na kulaani njama mbalimbali zinazofanywa dhidi ya Palestina na wamesisitiza kuwa kitu kimoja na kuendelea na muqawama katika kukabiliana na njama za Kiarabu/Kimagharibi na Kizayuni.
-
Hania asisitiza kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni
Sep 04, 2020 22:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitizia wajibu wa kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Kizayuni.