-
Marekani yasisitiza, itaendelea kuikalia kwa mabavu ardhi ya Afghanistan
Jul 06, 2020 01:40Balozi mdogo wa Marekani mjini Kabul amesema kuwa majeshi ya nchi yake yataendelea kuwepo katika ardhi ya Afganistan.
-
Mshauri wa Abbas: Chokochoko mpya za Israel zitaibua Intifadha ya 3 ya Palestina
Jul 05, 2020 22:56Mshauri wa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameonya kuwa, Intifadha ya Tatu ya wananchi wa Palestina inanukia na bila shaka itaibuka mara moja iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza mpango wake wa kulipora na kuliunganisha eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zilizopewa jina la Israel.
-
Maelfu ya Wairaqi waandamana, walaani gazeti la Saudia kwa kumvunjia heshima Ayatullah Sistani
Jul 05, 2020 21:59Maelfu ya Wairaqi wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad wakilaani hatua ya gazeti linalomilikiwa na Saud Arabia la al Sharq al Awsat ya kumvunjia heshima kiongozi mkuu wa kidini nchini humo, Ayatullah Ali Sistani.
-
Maelfu waandamana Israel wakitaka Netanyahu ajiuzulu; anatuhumiwa kufanya ufisadi
Jul 05, 2020 06:22Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Israel wakimtaka Waziri Mkuu wa utawala huo haramu, Benjamin Netanyahu ajiuzulu kwa tuhuma za kufanya ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.
-
Malengo na makusudio ya Aal Saud kumvunjia heshima kiongozi wa juu wa kidini wa Iraq
Jul 05, 2020 03:37Gazeti la Kisaudi la Ash-Sharqul-Awsat siku ya Ijumaa lilichapisha katuni ya kumtusi na kumvunjia heshima Ayatullah Ali Sistani, kiongozi mkubwa wa kidini anayeheshimika sana wa nchini Iraq akiwa anaonekana anaitenganisha Iraq na mamlaka yake ya utawala. Hatua hiyo ya gazeti hilo la utawala wa Aal Saud ina malengo, ujumbe na makusudio kadhaa iliyoyakusudia.
-
Iraq yalaani Marekani kwa kufanyia jaribio kombora ndani ya ubalozi wake Baghdad
Jul 05, 2020 02:04Serikali ya Iraq imeilaani Marekani kwa kufanyia majaribio mfumo wa makombora ya kujihami angani ndani ya ubalozi wake mjini Baghdad.
-
Gazeti la Kisaudi lililomvunjia heshima Ayatullah Sistani lalazimika kubadilisha msimamo
Jul 04, 2020 23:36Malalamiko makubwa na upinzani mkali wa viongozi na mirengo tofauti ya kisiasa ya Iraq, sambamba na hatua nyingi zilizochukuliwa na wananchi na makundi ya muqawama wa Kiislamu katika mitandao ya kijamii dhidi ya hatua ya gazeti la Kisaudi la Ash-Sharqul-Awsat ya kuchora katuni ya kumvunjia heshima kiongozi wa juu wa kidini wa nchini Iraq, hatimaye zimepelekea gazeti hilo lilazimike kuondoa katuni hiyo.
-
Spika wa Bunge la Kuwait ataka nchi za Kiarabu zikabiliane na Israel
Jul 04, 2020 23:16Spika wa Bunge la Kuwait ametaka nchi za Kiarabu zichukue hatua kali za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuteka maeneo zaidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Njama mpya za Wazayuni zazidi kuwafanya kitu kimoja Wapalestina
Jul 04, 2020 07:17Makundi mbalimbali ya Palestina yamepongeza makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya harakati za HAMAS na Fat'h na kusema kuwa, hatua hiyo ni muhimu katika kukabiliana na njama mpya za Wazayuni kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Utawala wa Kizayuni; mhusika wa utekaji nyara wa wanadiplomasia wanne wa Iran huko Lebanon
Jul 04, 2020 04:58Yapata miaka 38 imepita sasa tangu kutokea tukio la kutekwa nyara wanadiplomasia wanne wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Lebanon.