-
Maafisa 2 wa UN huko Israel wasimamishwa kazi kwa ufuska
Jul 04, 2020 03:39Umoja wa Mataifa umewasimamisha kazi maafisa wake wawili wa timu ya operesheni za usalama eneo la Asia Magharibi baada ya kubainika kuwa walijihusisha na vitendo vya ufuska ndani ya utawala haramu wa Israel.
-
Magaidi sita wa ISIS watiwa mbaroni magharibi mwa Iraq
Jul 04, 2020 03:35Mkuu wa Idara ya Intelijensia na Kupambana na Ugaidi katika mkoa wa Anbar magharbii mwa Iraq ametangaza habari ya kutiwa mbaroni wanachama sita wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
HAMAS yasisitiza kuandaliwa mpango wa mapambano ya silaha dhidi ya Israel
Jul 03, 2020 22:08Mahmoud al-Zahar, mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina amesisitiza kuwa, kuna haja ya kuandaliwa mpango wa mapambano ya silaha kwa ajili ya kuweko ukombozi wa kweli wa Palestina.
-
Nukta nne muhimu katika matamshi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq kuhusu uvamizi wa ISIS nchini humo
Jul 03, 2020 22:07Nouri al Maliki, Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq amefanyiwa mahojiano maalumu na mtandao wa habari wa al Maluma na amezungumzia nukta nne muhimu zaidi kuhusu uvamizi wa magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Iraq wa mwaka 2014.
-
Uturuki: Imarati imefanya jinai za kivita na mauaji ya kimbari huko Yemen
Jul 03, 2020 05:16Mwakilishi wa kudumu Uturuki katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imefanya jinai za kivita na mauaji ya kimbari katika vita vya Yemen.
-
Yemen yasisitiza kuendelea kujibu mapigo kwa hujuma na mashambulio ya Saudia
Jul 03, 2020 03:19Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesisitiza kuwa vyombo vya kijeshi na vya utawala vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia vitaendelea kushambuliwa madamu muungano huo vamizi ungali unaendeleza uchokozi na mzingiro dhidi ya Yemen.
-
Hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi kaskazini mwa Syria
Jul 03, 2020 02:37Uturuki imetangaza kuwa imetuma kundi jingine la kikosi maalumu cha jeshi la nchi hiyo katika eneo la Ras al Ain huko kaskazini mwa Syria.
-
Haniya awatolea mwito Wapalestina wote waungane pamoja kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Jul 02, 2020 22:13Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ametoa mwito kwa Wapalestina wote kuungana pamoja kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ripoti: Wanajeshi wa Marekani wanapora mafuta ya Syria
Jul 02, 2020 07:40Wanajeshi wa Marekani wamepora shehena ya matrela 30 ya mafuta ya petroli kutoka visima vya mafuta vya Syria na kuyapeleka Iraq.
-
Msemaji wa Hamas: njia pekee ya kuwafukuza Wazayuni ni muqawama
Jul 02, 2020 02:14Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa njia pekee ya kuwarejsha nyuma Wazayuni ni kuendeleza mapambano na kuongeza kuwa: Maandamano yanayofanywa na wananchi wa Palestina katika maeneo mbalimbali yametuma ujumbe kwamba wataendeleza muqawama na mapambano hadi kupatikane ushindi.