-
Kuakhirisha kwa lazima Netanyahu mpango wa kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Jul 02, 2020 02:12Kuongezeka malalamiko na indhari hatimaye kumemlazimisha Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel aakhirishe mpango wake wa kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuziunganisha na ardhi nyingine zilizoghusubiwa za Palestina na sasa mpango huo utatekelezwa wakati mwingine.
-
Wapalestina waandamana Gaza kulaani uporaji wa ardhi zao
Jul 01, 2020 21:48Maelfu ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza jana Jumatano walifanya maandamano makubwa ya kulaani mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
The Guardian: Maafa ya korokoro zinazosimamiwa na Imarati huko Yemen yanatisha
Jul 01, 2020 03:36Gazeti la The Guardian la Uingereza limemulika ripoti ya mashirika ya kutetea haki za binadamu ambayo imefichua ukiukaji wa kutisha wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia wa Yemen katika jela na korokoro zisizo rasmi hususan zile zinazosimamiwa na makundi ya wanamgambo wanaosaidiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jul 01, 2020 03:19Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain amesema katika mkutano na waandishi wa habari alioufanya kwa pamoja na Brian Hook, mjumbe maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran kwamba eti Iran inaingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili ikiwemo Bahrain.
-
Hania aainisha malengo matatu ya Israel ya kupora ardhi za Palestina
Jun 30, 2020 08:12Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema utawala wa Kizayuni wa wa Israel unafuatilia malengo matatu makuu katika mpango wake wa kutaka kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Saudi Arabia mbioni kufanyia marekebisho makubaliano ya Riyadh; kuchanganyikiwa utawala wa Aal Saud katika vita vya Yemen
Jun 30, 2020 05:58Kuongezeka vita na mapigano baina ya serikali ya Yemen iliyojiuzulu ya Abdurabbuh Mansur Hadi na Baraza la Mpito la Kusini, kumeifanya Saudi Arabia ifikirie suala la kuyafanyia maekebisho makubaliano ya Riyadh kwa minajili ya kudhibiti mgogoro ulioibuka kusini mwa Yemen.
-
Hamas yaitaka Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuandaa kikao cha taifa
Jun 30, 2020 03:23Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemtaka Mahmoud Abbas Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuandaa kikao cha taifa kwa ajili ya kubuni mkakati wa pamoja wa kukabiliana na mpango wa Israel wa kutaka kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Al-Zahar: Mpango wa Israel wa kupora ardhi ya Palestina utasababisha Intifadha kubwa
Jun 29, 2020 21:58Mjumbe wa ngazi za juu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel una hofu na woga wa kukabiliana ana kwa ana na muqawama na ndio maana umekuwa ukifuatilia utekelezaji wa hatua kwa hatua wa mipango ya kupora ardhi za Ukingo wa Magharibi na kuziunganisha na ardhi nyingine zilizoghusubiwa za Palestina.
-
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu aitaka Israel iache kupora ardhi za Palestina
Jun 29, 2020 09:55Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mpango wa Israel wa kupora ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuziunganisha na ardhi nyingine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni kinyume kabisa na sheria.
-
'Mpango wa kupora ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi ni njama za kuiangamiza Palestina'
Jun 29, 2020 03:46Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina nchini Iran amesema kuwa, mpango wa kuporwa ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuingizwa kwenye ardhi nyingine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni kwa zaidi ya miaka 70 sasa ni njama za kuliangamiza kikamilifu taifa la Palestina.