-
'Mpango wa kupora ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi ni njama za kuiangamiza Palestina'
Jun 29, 2020 03:46Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina nchini Iran amesema kuwa, mpango wa kuporwa ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuingizwa kwenye ardhi nyingine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni kwa zaidi ya miaka 70 sasa ni njama za kuliangamiza kikamilifu taifa la Palestina.
-
Hashd al Shaabi: Marekani inataka kumalizia hamaki zake kwetu
Jun 29, 2020 03:37Kamanda wa harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi amesema kuwa, Marekani bado imejawa na hamaki na inataka kumalizia hamaki zake hizo kwa harakati hiyo ya wananchi ambayo inavuruga njama za Wamarekani hasa baada ya harakati hiyo kulishinda genge la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoundwa na Marekani.
-
Intifadha, njia pekee ya kukabiliana na mpango wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi
Jun 28, 2020 23:25Mkuu wa Kamati ya Kuunga mkono Mapinduzi ya Wananchi wa Palestina amesema kuwa mapambano ya Intifadha ndio njia pekee ya kukabiliana na mpango wa utawala wa kizayuni wa Israel wa kutaka kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi.
-
Siku tatu kabla ya kutekelezwa mpango wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi; Netanyahu akabiliwa na kibarua kigumu
Jun 28, 2020 03:05Zikiwa zimebakia siku tatu kabla ya kutekelezwa mpango wa kulitwaa eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi, Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel anaonekana kukabiliwa na vizingiti kutokana na kuongezeka mashinikizo dhidi ya mpango wake huo.
-
Yemen: Madai ya Saudia kuwa inataka amani nchini Yemen ni uongo mtupu
Jun 27, 2020 22:06Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa nchini Yemen amesema kuwa madai yanayotolewa na serikali ya Saudi Arabia kwamba inataka kuwepo amani nchini Yemen ni uongo mtupu.
-
HAMAS yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Jun 27, 2020 07:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza yatazidi kuufanya muqawama ushikilie msimamo wake wa kupinga njama za Israel za kuteka ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia Ukanda wa Ghaza
Jun 27, 2020 03:49Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeetekeleza mashambulizi katika Ukanda wa Gaza usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
-
Kuongezeka uzalishaji wa mihadarati ya mpopi Afghanistan chini ya kivuli cha kuwepo kijeshi Marekani
Jun 26, 2020 20:29Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na uhalifu na mihadarati imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa, tani 6,400 za madawa ya kulevya yanayotokana na mpopi zilizalishwa nchini Afghanistan katika mwaka uliopita wa 2019.
-
Qatar: Uhurusiano wetu na Iran utaendelea kuwa mzuri licha ya mashinikizo ya Marekani
Jun 26, 2020 20:02Balozi wa Qatar mjini Washington Marekani amesema kuwa, uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jambo la dharura na ameituhumu Saudi Arabia na waitifaki wake kwa siasa chafu na kufanya mambo yawe mazito.
-
Hamas: Kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni jinai dhidi ya Wapalestina
Jun 26, 2020 20:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, hatua yoyote ya kuwa na uhusiano na utawala wa Kizayuni ni jinai dhidi ya haki za wananchi wa Palestina.