-
Indhari kuhusu hujuma ya kigaidi ya Marekani dhidi ya vituo vya brigedi za Hizbullah Iraq
Jun 26, 2020 11:30Hujuma ya majeshi ya kigaidi ya Marekani kwa ushirikiano na waitifaki wao Iraq dhidi ya vituo vya Brigedi za Kata'ib Hizbullah imelaaniwa vikali kote katika nchi hiyo.
-
Unicef: Idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongeza sana Yemen
Jun 26, 2020 02:45Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Yemen.
-
Baraza la Mpito la Kusini; Sudan Kusini ya Israel ndani ya ardhi ya Yemen
Jun 26, 2020 01:33Hani Bin Breik, Naibu Mkuu wa Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen ametangaza kuwa, baraza hilo linautambua rasmi utawala haramu wa Israel.
-
Amnesty International: Saudia iache kuwatesa wanaharakati wanawake iliowaweka korokoroni
Jun 25, 2020 22:00Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limeitaka Saudi Arabia iache utesaji na ukiukaji mkubwa inaofanya wa haki za wanaharakati wanawake wanaoshikiliwa kwenye jela za nchi hiyo.
-
Jordan: Njia pekee ya kupatikana uthabiti Asia Magharibi ni kuundwa nchi huru ya Palestina
Jun 25, 2020 07:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan amesisitiza juu ya udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina na kueleza kwamba, Palestina ndio kadhia kuu na ambayo imekuwa ikipewa kipaumbele na nchi hiyo.
-
Ujumbe mbalimbali wa operesheni ya kulipiza kisasi ya jeshi la Yemen dhidi ya Saudia
Jun 25, 2020 05:09Brigedia Jenerali Yahya Saree, Msemaji wa Majeshi ya Yemen, Jumanne tarehe 23 Juni alitangaza habari ya kufanyika operesheni kubwa ya kijeshi ya kulipiza kisasi cha jinai zinazofanywa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Mwakilishi wa Palestina UN ataka kufuatiliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Jun 24, 2020 22:41Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametaka kuchunguzwa na kufuatiliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Palestina.
-
Kushtadi mashinikizo dhidi ya Israel kuhusu kulitwaa eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi
Jun 24, 2020 01:35Ikiwa imebakia wiki moja kabla ya kutekelezwa mpango wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuliunganisha na ardhi nyingine zilighusubiwa, mashinikizo dhidi ya utawala huo haramu yameshadidi.
-
Kamisheni ya UNESCO ya Yemen yataka Saudia ishtakiwe ICC
Jun 23, 2020 23:18Kamisheni ya Kitaifa ya Yemen katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) imeutaka Umoja wa Mataifa uangalie upya uamuzi wake wa kufuta jina la Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen kwenye orodha nyeusi ya nchi zinazoua watoto na kuvunja haki zao, na badala yake uwasilishe faili la jinai hizo katika Mahakama ya Kimataifa ya Jina (ICC).
-
Jeshi la Yemen latekeleza oparesheni ya kujihami ndani ya ardhi ya Saudia
Jun 23, 2020 06:16Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema majeshi ya nchi hiyo yametekeleza oparesheni maalumu ndani kabisa ya ardhi ya Saudi Arabia.