-
Kushadidi hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Israel juu ya kadhia ya Ukingo wa Magharibi
Jun 23, 2020 03:15Hitilafu za kimitazamo baina ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na Waziri wa Vita wa utawala huo, Benny Gantz kuhusu mpango wa kulitwaa eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi na kuliunganisha na ardhi nyingine zilighusubiwa zimezizidi kupamba moto huku Netanyahu akimtishia Gantz kuwa atalivunja baraza la mawaziri na kuitisha uchaguzi wa nne wa bunge katika kipindi cha mwaka mmoja.
-
Mwakilishi maalumu wa Marekani Syria: Washington haina tena nia ya kuiangusha serikali ya Bashar al-Asad
Jun 23, 2020 02:31Baada ya kupita miaka 9 ya kushindwa magaidi wanaoungwa mkono na nchi za Magharibi na Kiarabu katika juhudi zao za kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria inayoongozwa na Rais Bashar al-Asad, hatimaye mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Syria amesema kuwa nchi hiyo haina tena nia ya kuingusha serikali hiyo.
-
Al Hashd al Shaabi: Oparesheni ya jeshi la Iraq itaendelea hadi kuangamizwa Daesh
Jun 22, 2020 22:00Kamanda wa oparesheni ya kikosi cha harakati ya al Hashd al Shaabi katika mkoa wa Diyala nchini Iraq amesema kuwa awamu ya tatu ya "Oparesheni ya Ushindi wa Mashujaa wa Iraq" itaendelea mashariki na kaskazini mwa nchi hadi mabaki yote ya kundi la kigaidi la Daesh yatakapoangamizwa kikamilifu.
-
Jeshi la Israel latumia wanyama hai kufanyia majaribio silaha zake
Jun 22, 2020 07:44Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel linawatumia wanyama walio hai kufanyia majaribio silaha zake kwa siri.
-
Deni la Saudia laongezeka kwa asilimia 375 wakati wa Bin Salman
Jun 22, 2020 03:00Data za Benki ya Dunia zinaonesha kuwa deni la nje la Saudi Arabia limepanda vibaya mno tangu Mohammad bin Salman alipopewa cheo cha kurithi kiti cha ufalme wa nchi hiyo.
-
Kutekwa Socotra kwa msaada wa Saudi Arabia; serikali iliyojiuzulu Yemen yakaribia kuanguka
Jun 21, 2020 23:49Kisiwa cha Socotra kilichoko kusini mwa Yemen kimetekwa na wapiganaji wa Baraza la Mpito la Kusini kwa msaada wa Saudi Arabia, ambapo gavana wa kisiwa hicho aliyeteuliwa na serikali ya Abdrabbuh Mansur Hadi, ameutuhumu muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia kwa kufanya hiana na kuwasaliti watu wa Yemen.
-
Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, yasema makombora yake yako ange
Jun 21, 2020 23:30Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeutahadharisha utawala wa kizayuni kwamba iwapo utashambulia ardhi ya Lebanon itashambulia maeneo mbalimbali ya utawala huo kwa kutumia makombora yanayolenga shabaha kwa umakini mkubwa.
-
Ripoti: Saudia Arabia imeharibu hospitali na zahanati 300 nchini Yemen katika wiki kadhaa zilizopita
Jun 21, 2020 07:06Waziri wa Afya wa Yemen ametangaza kuwa, katika wiki kadhaa zilizopita mashambulizi ya Saudi Arabia na washirika wake yameharibu hospitali na zahanati zaidi ya 300, sambamba na kushadidi maambukizi ya virusi vya corona nchini Yemen.
-
Muungano wa kivita wa Saudia watekeleza hujuma 450 dhidi ya Yemen
Jun 21, 2020 03:41Muungano wa kivita wa Saudi Arabia umetekeleza mashambulizi 450 ya anga dhidi ya raia wasio na ulinzi wa Yemen katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
-
Wanaharakati wa masuala ya kiraia watoa wito wa kususiwa Israel kimataifa
Jun 20, 2020 22:44Jumuiya ya Kimataifa ya Mshikamano wa Kusini nchini Afrika Kusini imetoa wito wa kususiwa utawala haramu wa Israel katika nyanja za kimataifa.