-
Amnesty International yakosoa uamuzi wa kuondolewa jina la Saudia katika orodha ya wauaji wa watoto
Jun 20, 2020 22:44Shirika la Msamaha Dunia, Amnesty International, limekemea na kukosoa uamuzi wa Umoja wa Mataifa wa kufuta jina la Saudi Arabia na washirika wake karika vita vya Yemen kwenye orodha nyeusi ya nchi zinazoua watoto na kuvunja haki zao.
-
Mamlaka ya Ndani: Wananchi wa Palestina hawatosamehe hata shibri moja ya ardhi yao
Jun 20, 2020 07:19Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema kuwa, taifa hilo halitofumbia macho hata shibri moja ya ardhi yake na kwamba wananchi wa Palestina hawawezi kukubali kuunganishwa ardhi yao yoyote ile na ardhi nyingine zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Mtazamo wa Katibu Mkuu wa Ansarullah kuhusu mbinu unazotumia Uistikbari katika njama zake dhidi ya Waislamu
Jun 20, 2020 01:31Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, amebainisha mbinu unaoztumia Uistikbari katika kutekeleza njama zake dhidi ya Waislamu na kutilia mkazo kuendelezwa muqawama wa kukabiliana na njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ansarullah: Saudia na Imarati zinashirikiana na Israel dhidi ya Waislamu
Jun 19, 2020 23:33Kiongozi wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amezionya vikali Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu dhidi ya kuendeleza njama za kutaka kuufanya wa kawaida uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kwamba, Riyadh na Abu Dhabi zinashirikiana na Tel Aviv ambayo inajulikana ni adui mkubwa wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Jeshi la Lebanon lajiweka sawa baada ya askari wa Israel kwenda mpakani
Jun 19, 2020 23:27Jeshi la Lebanon limejiweka katika hali ya tahadhari baada ya kuripotiwa uwepo wa makumi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mpaka wa nchi hiyo ya Kiarabu na Palestina.
-
Maandamano mengine yafanyika Tel-Aviv kupinga mpango wa kughusubu eneo la Ukingo wa Magharibi
Jun 19, 2020 07:40Mamia ya wakazi wa Tel-Aviv huko Israel wameandamana wakipinga mpango wa Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel wa kutaka kuzipora na kuzikalia kwa mabavu ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jihad al-Islami: Njia pekee ya kukabiliana na Israel na mpango wa Trump wa Muamala wa Karne ni muqawama
Jun 19, 2020 07:38Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Jihad al-Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema kuwa, misimamo ya harakati hiyo ni thabiti na haitabadilika.
-
Mkuu wa sera za Nje za Ulaya aitahadharisha Israel kuhusu mpango wa kutwaa eneo la Ukingo wa Magharibi
Jun 19, 2020 03:29Mkuu wa Sera za Nje za Umoja wa Ulaya ametahadharisha kwamba, utekelezaji wa mpango wa kutwaa eneo la Ukingo wa Magharibi na kuliunganisha na Israel utakuwa na taathira mbaya katika uhusiano wa Ulaya na Isarel ambazo haziwezi kuepukika.
-
Arab League yalaani ujenzi wa kitongoji cha "Trump" katika eneo la Golan
Jun 18, 2020 03:17Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujenga kitongoji cha "Trump" katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Miinuko ya Golan.
-
Uchambuzi wa Sayyid Nasrullah kuhusu machafuko ya Lebanon na njama za Marekani
Jun 17, 2020 22:23Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa machafuko yanayoshuhudiwa sasa nchini humo ni njama iliyopangwa na Marekani.