-
Hashd as-Sha'bi; tokea wakati wa kutolewa fatwa hadi kuimarika nchini Iraq
Jun 14, 2020 02:21Tarehe 10 Juni, kundi la kigaidi la Daesh liliingia na kuuteka mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa wa Neinawa (Nineveh) nchini Iraq.
-
Mwanaharakati wa haki za wanawake aliyeko jela Saudia atunukiwa Tuzo ya Uhuru 2020
Jun 13, 2020 22:15Mwanaharakati wa haki za wanawake wa Saudi Arabia aliyeshikiliwa jela, Loujain al-Hathloul ametunukiwa Tuzo ya Uhuru 2020 (Freedom Prize 2020) kufuatia kuongozeka hujuma na ukandamizaji mkubwa unaofanywa na mrithi wa ufalme wa Saudia Mohammed bin Salman dhidi ya wanaharakati wa haki za binadamu na wasomi nchini humo.
-
Al Hashdul Shaabi yaipongeza Iran kwa msaada wake katika kupambana na ugaidi
Jun 13, 2020 22:13Mkuu wa Idara ya Habari ya harakati ya wananchi wa Iraq ya al Hashdul Shaabi ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika mapambano dhidi ya ugaidi nchini Iraq.
-
Siku 1900 za vita vya Muungano wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Jun 13, 2020 03:49Vita vya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen vilianza Machi 26 mwaka 2015; na sasa vita hivyo visivyo vya uwiano vinatimiza siku 1900 siku mbili zijazo.
-
Hamas yakosoa UAE kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Jun 13, 2020 03:05Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemkosoa Yousef Al Otaiba Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mjini Washington, Marekani ambaye anafanya juu chini kutafuta nukta za pamoja baina ya nchi yake na utawala ghasibu wa Israel huku akiomba kuwepo uhusiano wa kawaida baina ya nchi yake na utawala huo.
-
Watu 43,000 wameuawa na kujeruhiwa katika siku 1900 za vita vya Saudia dhidi ya Yemen
Jun 13, 2020 02:41Kituo kimoja cha haki za binadamu kimesema watu zaidi ya 43,000 wameuawa na kujeruhiwa hadi kufikia siku ya 1900 ya uvamizi wa Saudia na waitifaki wake dhidi ya Yemen.
-
Nchi nane za Ualaya: Tuko tayari kutambua rasmi nchi huru ya Palestina
Jun 12, 2020 05:34Mjumbe wa Kamati Kuu ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa nchi 8 za Ulaya zimetangaza kuwa ziko tayari kutambua rasmi nchi huru ya Palestina iwapo Israel itatwaa ardhi zaidi ya Ukingo wa Magharibi.
-
Mapatano ya Washington na Baghdad kuhusu kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq
Jun 12, 2020 03:16Kumefikiwa mapatano ya kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq. Mapatano hayo yamefikiwa Alhamisi katika mkutano uliofanyika baina ya Abdulkarim Hashemi Mustafa mwakilishi wa serikali ya Iraq na David Hale mwakilishi wa serikali ya Marekani.
-
Umoja wa Mataifa; mhusika wa jinai za muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen
Jun 11, 2020 22:06Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa Umoja wa Mataifa unahusika na hali mbaya inayosababishwa na hatua ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ya kuzuiwa kufikishwa humo bidhaa za mafuta.
-
OIC yatahadharisha matokeo mabaya ya mpango wa kughusubu eneo la Ukingo wa Magharibi
Jun 11, 2020 07:35Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetahadharisha juu ya matokeo mabaya ya uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kuzipora na kuzikalia kwa mabavu ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kulaani vikali hatua hiyo.