-
Duru mpya ya mazungumzo ya Iraq na Marekani; dalili na matokeo yake
Jun 11, 2020 03:07Mazungumzo kati ya viongozi wa Iraq na Marekani yameanza leo Alkhamisi tarehe 11 Juni.
-
Gazeti la Qatar: Kumefikiwa makubaliano ya kimataifa ya kummaliza Khalifa Haftar wa Libya
Jun 10, 2020 21:55Gazeti la al Arabi al Jadid limeripoti habari ya kufikiwa makubliano ya kimataifa ya kummaliza kabisa kisiasa jenerali muasi Khalifa Haftar wa Libya.
-
Njama mpya nchini Lebanon; fitina za kimadhehebu kwa mbinu za kisiasa
Jun 10, 2020 08:59Katika siku za karibuni Lebanon kwa mara nyingine imekuwa ikishuhudia machafuko ambapo watu wa kushukiwa na kutiliwa shaka wamekuwa wakimiminika mitaani na kupiga nara za kichochezi na za fitiza za kimadhehebu pamoja na kukabiliana na walinda amani nchini humo.
-
Stratijia ya Hamas kwa ajili ya kukabiliana na Israel
Jun 10, 2020 04:21Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametangaza stratijia yenye nguzo nne kwa ajili ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Barua ya Ismail Hania kwa viongozi 40 wa nchi za Kiarabu kwa ajili ya kusambaratisha mpango wa Israel
Jun 10, 2020 03:26Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amewatumia barua tofauti wakuu na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu zaidi ya 40 akiwataka kuchukua hatua za harakati kusitisha mpango wa Israel wa kutaka kuyaunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa
Jun 10, 2020 00:24Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah amuomboleza Ramadhan Abdullah
Jun 09, 2020 23:44Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kifo cha Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina Ramadan Abdullah Shalah.
-
Hamas yasisitiza ulazima wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kuzuia kutwaliwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi
Jun 09, 2020 08:20Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitolea wito nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dhati na kivitendo kuzuia utawala wa Kizayuni kutekeleza mpango wa kutwaa maeneo ya Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan na kuyaunganisha na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Sisitizo la Qatar la kufanya mazungumzo na nchi nne za Kiarabu bila ya masharti
Jun 09, 2020 04:24Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amepokea vizuri juhudi za Kuwait za kujaribu kutatua mzozo uliopo baina ya Qatar na nchi nne za Kiarabu na kusisitiza kuwa, kuheshimiwa haki ya kujitawala Qatar ndilo sharti kuu la Doha la kufanya mazungumzo na nchi nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), Bahrain na Misri.
-
Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq
Jun 09, 2020 03:32Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ameitaka Marekani iviondoe mara moja vikosi vyake vyote katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.