-
Kuaga dunia Ramadhan Abdallah; nembo ya Jihadi ya Palestina
Jun 09, 2020 00:23Ramadhan Abdallah Shalah, Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 62 kutokana na maradhi ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
-
Wapalestina waandamana dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi
Jun 08, 2020 23:14Makumi ya Wapalestina wanaoishi katika mji wa Ramallah katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wameandamana kupinga mpango wa utawala wa Kizayuni ambao unalenga kuteka ardhi zaidi za Wapalestina katika eneo hilo.
-
Serikali ya Yemen yaikosoa UN kwa kutoshiriakana na Sanaa katika kukabiliana na corona
Jun 08, 2020 22:01Waziri wa Afya wa Serikali ya Uokovu ya Yemen ameukosoa Umoja wa Mataifa kwa kutoshirikiana na serikali ya Sanaa katika kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia kifo cha mwanamuqawama wa Palestina
Jun 08, 2020 07:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa mkono wa pole kufuatia kuaga dunia Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihadu Islami ya Palestina, Ramadhan Abdullah Shalah.
-
Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi
Jun 08, 2020 07:39Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amesiistiza kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo kuhusu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa eneo la Ghuba ya Uajemi kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yawe katika fremu ya kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya Qatar na kutoingiliwa masuala yake ya ndani.
-
Tamim: Wakati umefika wa kuweka wazi uhusiano wa Israel na Waarabu
Jun 07, 2020 22:05Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi la Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu ameibua mijadala na wimbi la malalamiko baada ya kutoa mwito kwa nchi za Kiarabu kuufanya wa kawaida uhusiano wao na utawala haramu wa Israel.
-
Kuendelea jinai za muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen katika mazingira ya Corona
Jun 07, 2020 22:05Jinai za muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen bado zinaendelea katika nyuga tofauti.
-
Hania aitaka PLO kuchukua uamuzi wa kihistoria kuhusu mapambano dhidi ya Wazayuni
Jun 07, 2020 07:40Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Palestina (Hamas) ameitaka Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) inayoongozwa na Mahmoud Abbas kuchukua uamuzi wa kihistoria na kuungana na makundi na harakati nyingine za kitaifa na Kiislamu za Palestina.
-
Hilali Nyekundu ya Iran yafungua tena hospitali katika mji mkuu wa Yemen
Jun 07, 2020 03:29Msemaji wa Shirika la Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema shirika hilo limefungua hospitali ya vitanda 70 katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa.
-
Katibu Mkuu wa zamani wa IJM aaga dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu
Jun 07, 2020 00:43Katibu Mkuu wa zamani Harakati ya Jihad Islami ya Palestina (IJM) ameaga dunia hospitalini baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.