-
Mgogoro kati ya Saudia na Imarati kuhusu mkoa wa Hadhramaut, Yemen washtadi
Jun 06, 2020 23:37Mapigano ya niaba kati ya Saudi Arabia na Imarati katika mkoa wa Hadhramaut, mashariki mwa Yemen yameshadi zaidi.
-
Kubaidishwa khatibu wa Msikiti wa al Aqsa; jinai mpya ya Wazayuni
Jun 06, 2020 07:01Polisi ya utawala wa Kizayuni imetoa amri ya kubaidishwa kwa miezi minne Sheikh Ikrima Sabri Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa.
-
Mwaka wa tatu wa mzozo baina ya nchi za Kiarabu
Jun 05, 2020 08:17Ijumaa Juni tano 2020 imesadifiana na kuingia mwaka wa nne tangu uanze mgogoro baina ya nchi kadhaa za Kiarabu.
-
Hamas yalaani mashambulizi ya Israel nchini Syria
Jun 05, 2020 03:26Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani mashambulizi ya makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Syria.
-
Ripoti ya UN: Wayemeni zaidi ya milioni 20 wanakabiliwa na hatari ya kupatwa na corona
Jun 05, 2020 03:22Shirika la Programu na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetangaza kuwa, zaidi ya Wayemeni milioni 20 wanasumbuliwa na njaa ya muda mrefu na wamo katika hatari ya kupatwa na virusi vya corona.
-
Iran na Iraq; majirani wawili wenye nyuga nyingi za ushirikiano wa kiuchumi
Jun 04, 2020 21:54Iran na Iraq ni nchi mbili jirani zenye nyuga na mambo mengi yanayozikutanisha pamoja na zina pia nafasi kubwa, pana na za kila namna za kupanua ushirikiano wao katika nyanja tofauti za kiuchumi kama vile sekta ya nishati.
-
Serikali ya Palestina: Mpango wa kutwaa Ukingo wa Magharibi utazusha machafuko yasiyo na kifani
Jun 04, 2020 08:15Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetangaza kuwa, mpango wa utawala haramu wa Israel wa kuyatwaa maeneo zaidi ya Ukingo wa Magharbi wa Mto Jordan utazusha machafuko ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Sheikh Isa Qassim: Umma wa Kiislamu una wajibu wa kulinda Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 04, 2020 03:08Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (MA) yanafanana na ya Mitume na kusisitiza kwamba umma wote wa Kiislamu una wajibu wa kuyalinda mapinduzi hayo.
-
Mtoto mmoja hufariki dunia nchini Yemen kila baada ya dakika tano
Jun 03, 2020 03:02Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen, amesema kuwa, mtoto mmoja hufariki dunia nchini Yemen kila baada ya dakikat tano kutokana na utapiamlo na magonjwa mengine ya kuambukiza.
-
Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Jun 03, 2020 02:58Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la Iraq amesema kuwa, nchi hiyo haihitai askari yeyote wa kigeni kwa ajili ya mapambano na mabaki ya ugaidi.