-
Waziri wa Vita wa Israel atoa amri ya kutekwa ardhi zaidi za Wapalestina, Ukingo wa Magharibi
Jun 02, 2020 07:00Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amemtaka mkuu wa majeshi ya utawala huo katili na ghasibu afanyie uchunguzi njia za kutekeleza kivitendo mpango wa kuteka maeneo zaidi ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na aongeze utayari wa jeshi la Israel kwa ajili ya kutekeleza mpango huo.
-
Jihad Islami: Tawala za Israel na Marekani ni za kibaguzi na kigaidi
Jun 01, 2020 21:56Mjumbe wa Idara ya Siasa ya harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Israel ni tawala za kibaguzi na kigaidi ambazo zilianzishwa kwa msingi wa kuvamia, kuua, kufanya ubaguzi na kuwanyonya wanadamu.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya uchumi wa Palestina wakati wa corona
Jun 01, 2020 05:23Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hatari ya matatizo ya kiuchumi na kuenea kirusi cha corona huko Palestina.
-
Israel yapanga kwa siri na Saudia namna ya kuwatwisha Wapalestina "Muamala wa Karne"
Jun 01, 2020 05:21Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limeripoti kuwa, kumefanyika mazungumzo ya siri baina ya viongozi wa Israel na Saudi Arabia kuhusu kupewa Wasaudia usimamiaji wa maeneo matukufu ya mji wa Baytul Muqaddas kama sehemu ya utekelezaji wa mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne na kukabiliana na ushawishi wa Uturuki.
-
Muungano vamizi wa Saudia umekiuka usitishaji vita mara 72 huko Hudaydah
Jun 01, 2020 03:01Televisheni ya al Masira ya Yemen jana usiku ilitangaza kuwa wanajeshi vamizi wa Saudi Arabia na mamluki wao wamekiuka mara 72 usitishaji vita katika mkoa wa al Hudaydah magharibi mwa Yemen katika muda wa saa 24 zilizopita.
-
Mufti wa Palestina atoa wito kwa Waislamu kuunga mkono malengo ya Palestina
May 31, 2020 23:20Mufti wa Palestina ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kutekeleza majukumu yao kuhusu Quds na Palestina na kuyatetea matukufu yake.
-
Familia: Mpalestina aliyeuawa na jeshi la Israel alikuwa mlemavu
May 31, 2020 06:58Kijana wa Kipalestina aliyeuawa jana Jumamosi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kupigwa risasi katika mji mtakatifu wa Quds alikuwa mlemavu.
-
Mgogoro wa Palestina, Israel yakaribia kutumbukia katika vita au Intifadha mpya
May 31, 2020 03:36Kuendelea uvamizi na sera za mabavu za Israel kumezidisha machafuko baina ya utawala huo ghasibu na raia wa Palestina kiasi kwamba, utawala huo haramu umeua shahidi Wapalestina wasiopungua wawili katika siku mbili zilizopita.
-
Mpasuko mkubwa waibuka ndani ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS)
May 31, 2020 00:18Msemaji wa Jeshi la Iraq ameeleza kuwepo mpasuko mkubwa ndani ya safu ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) hasa baada ya kuuawa kiongozi wa genge hilo, Abubakar Al-Baghdad.
-
HAMAS yalaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Kibla cha Kwanza cha Waislamu
May 30, 2020 07:55Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo kamwe haitoruhusu utawala wa Kizayuni uendelee kufanya jinai dhidi ya Msikiti wa al Aqsa (Kibla cha Kwanza cha Waislamu).