-
FATF yatoa onyo kali kwa Imarati kwa kuruhusu kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi
Apr 30, 2020 20:11Kundi maalumu la FATF limeuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutokana na kuchukua hatua chache na dhaifu katika kukabiliana na utakatishaji pesa na kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi.
-
Hizbullah ya Lebanon yasisitiza mapambano dhidi ya ufisadi na ubeberu wa sarafu ya dola
Apr 30, 2020 07:53Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa ikisema kuwa, mapambano dhidi ya ufisadi na kuzuia ubeberu wa sarafu ya Dola ya Marekani kwenye uchumi wa nchi, ni jambo la dharura.
-
Maafa ya kibinadamu Yemen yafika kileleni kutokana na sera za Marekani
Apr 30, 2020 02:51Baada ya Marekani kukata mchango wake kwa Shirika la Afya Duniani (WHO), shirika hilo limetangaza kukata asilimia 80 ya misaada yake kwa watu wa Yemen.
-
Iran na Russia: Njia pekee ya kuutatua mgogoro wa Yemen ni mazungumzo ya kisiasa
Apr 30, 2020 00:21Msaidizi wa ngazi za juu wa Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran katika masuala maalumu ya kisiasa amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia anayeshughulikia masuala ya kimataifa ambapo wamejadili matukio ya hivi karibuni nchini Yemen.
-
HAMAS: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni hiana kwa taifa la Palestina
Apr 29, 2020 02:55Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel itakuwa ni hiana kwa taifa la Palestina na kinyume kabisa na maslahi ya wananchi hao madhulumu.
-
Malengo ya Israel katika mashambulio inayofanya mara kwa mara dhidi ya Syria
Apr 29, 2020 02:05Raia watatu wa Syria waliuawa na wanne walijeruhiwa katika shambulio la makombora lililofanywa na utawala wa Kizayuni siku ya Jumatatu dhidi ya maeneo ya makazi ya raia katika vitongoji vya al-Hajirah na al-Adilah kandokando ya Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Apr 28, 2020 02:44Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Marekani yaanzisha chokochoko mpya Syria kwa kuingiza malori 30 ya silaha mkoani Hasakah
Apr 27, 2020 03:40Askari magaidi wa jeshi la Marekani usiku wa kuamkia leo wameingiza malori 30 ya shehena za silaha na zana za kijeshi katika kambi ya kijeshi waliyoanzisha kinyume cha sheria katika mkoa wa Hasakah kaskazini mashariki mwa Syria, ikiwa ni hatua nyingine ya kukiuka sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.
-
Saudia imetumia dola bilioni 233 katika vita vya kichokozi dhidi ya Yemen
Apr 27, 2020 03:21Kwa muda wa miaka mitano Saudi Arabia imetumia jumla ya dola bilioni 233 katika vita vya kichokozi na kivamizi ilivyoanzisha dhidi ya Yemen.
-
Zarif na Guterres wataka misaada zaidi ya kibinadamu itumwe kwa watu wa Yemen
Apr 26, 2020 20:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamesisitiza udharura wa kufunguliwa na kudhaminiwa usalama wa mipaka na bandari za Yemen kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa watu wa nchi hiyo.