-
Zarif na Guterres wataka misaada zaidi ya kibinadamu itumwe kwa watu wa Yemen
Apr 26, 2020 20:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamesisitiza udharura wa kufunguliwa na kudhaminiwa usalama wa mipaka na bandari za Yemen kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa watu wa nchi hiyo.
-
Mazungumzo ya kuondoka jeshi la Marekani nchini Iraq kuanza mwezi Juni
Apr 26, 2020 20:11Msemaji wa Mkuu wa Majeshi ya Iraq amesema kuwa, mazungumzo ya jinsi ya kuondoka majeshi ya Marekani katika ardhi ya nchi hiyo yataanza mwezi Juni mwaka huu.
-
Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo
Apr 26, 2020 20:10Serikali ya Rais Donald Trump imekuwa ikichukua hatua zisizo za kawaida katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni ambapo kati ya hatua hizo ni kuafiki rasmi suala la kuunganishwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi na maeneo mengine yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo bandia.
-
Uturuki haina nia ya kweli katika kutetea matukufu ya Palestina
Apr 26, 2020 07:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki ameukosoa utawala ghasibu wa Israel kwa kufanya njama za kunyakua na kuyaunganisha maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wanamgambo wa Imarati wajitangazia uhuru kusini mwa Yemen; Answarullah yalaani
Apr 26, 2020 06:56Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani hatua ya wanamgambo wa Umoja wa Falme za Kiarabu ya kujitangazia uhuru huko kusini mwa Yemen na kusema kuwa, hatua hiyo ni kutangaza kujitoa kikamilifu wanamgambo hao katika makubaliano ya Riyadh kati yao na serikali iliyojiuzulu ya Abdu Rabbuh Mansour Hadi.
-
Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu
Apr 26, 2020 03:28Maelfu ya raia wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano kupinga makubaliano ya kuunda serikali ya muungano baina ya Benjamin Netanyahu ambaye ni kiongozi wa chama cha Licud na kiongozi wa chama cha Blue and White, Benny Gantz, huku wakimtaja Waziri Mkuu huyo wa Israel kama mshukiwa wa jinai na kiongozi fisadi ambaye hapaswi kuendelea kuuongoza utawala huo bandia.
-
Msuguano baina na UAE na Saudia washtadi kusini mwa Yemen
Apr 26, 2020 03:17Siku chache baada ya kuvunjika mazungumzo baina ya serikali iliyojiuzulu ya Yemen ya Abdrabbuh Mansur Hadi inayoungwa mkono na Saudi Arabia na Baraza la Mpito la Kusini linaloungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu, vibaraka hao wa Imarati wamejitangazia mamlaka ya ndani katika mikoa ya kusini mwa nchi hiyo maskini ya Kiarabu iliyozama kwenye dimbwi la vita.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Qatar wajadili matukio ya Afghanistan
Apr 25, 2020 21:46Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamejadili katika mazungumzo yao kwa njia ya simu matukio ya hivi karibuni nchini Afghanistan.
-
Ripoti: Kuna ushirikiano wa karibu wa Saudi Arabia na Al-Qaeda nchini Yemen
Apr 25, 2020 21:41Saudi Arabia inashirikiana kwa karibu na kundi la kigaidi la al-Qaeda katika kutenda jinai za kivita dhidi ya watu wanaodhulumiwa wa Yemen.
-
Waandishi wasio na mipaka wazitaka Misri na Saudia kuwaachia huru waandishi habari
Apr 25, 2020 02:53Jumuiya ya Waandishi Habari Wasio na Mipaka imezitaka nchi za Saudi Arabia na Misri kuwaachia huru waandishi habari wanaoshikiliwa katika jela za nchi hizo ikitahadharisha kwamba, maisha ya wafungwa hao yamo hatarini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.