-
Saudia yatupilia mbali maombi yanayoitaka kuwaachia huru wafungwa wa Kipalestina
Apr 25, 2020 00:02Watawala wa Saudi Arabia na licha ya matakwa ya kila mara ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS), asasi za haki za binaadamu na familia za watu wanaoshikiliwa huko Saudia, bado wamekataa kuwaachilia huru Wapalestina hao.
-
Balozi wa Syria: Umoja wa Mataifa umefeli kuishinikiza Israel
Apr 24, 2020 23:36Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema Baraza la Usalama la umoja huo limefeli kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze maazimio ya baraza hilo kuhusu Palestina na Syria.
-
Al-Hashd al-Shaabi: Magaidi wa ISIS Iraq ni chombo cha Marekani
Apr 24, 2020 23:35Mkuu wa Idara ya Mawasiliano katika Harakati ya Al-Hashd Al-Shaabi katika mkoa wa Diyala mashariki mwa Iraq amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini hum ni chombo cha mashirika ya kijasusi ya Marekani.
-
Haniya na Abbas wasisitiza: Taifa la Palestina litakabiliana kwa umoja wake na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne"
Apr 24, 2020 10:28Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wamesisitiza kuwa taifa la Palestina litakabiliana kwa umoja wake na mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne.
-
Kanuni ya ajabu yapitishwa na bunge la Israel na kuthibitisha jinsi viongozi wa Wazayuni wasivyoaminiana
Apr 24, 2020 10:20Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset limepitisha sheria ya ajabu kuwahi kushuhudiwa kwa lengo la kuepusha kiongozi wa chama cha Likud Benjamin Netanyahu asije akamgeuka Benny Gantz kiongozi wa chama cha Buluu na Nyeupe katika uundaji wa baraza jipya la mawaziri la utawala huo haramu.
-
Sababu ya Saudi Arabia ya kutofungamana na madai yake ya usitishaji vita nchini Yemen
Apr 24, 2020 05:11Tarehe 9 Aprili Saudi Arabia ambayo ni kinara wa muungano wa kijeshi dhidi ya Yemen ilitangaza habari ya usitishaji vita wa upande mmoja kwa muda wa majuma mawili huko Yemen.
-
Njama za Trump za kuzusha mizozo na kutishia amani na usalama wa Ghuba ya Uajemi
Apr 23, 2020 08:26Baada ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia mwezi Mei mwaka 20018, ilianza kutekeleza siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen: Mauzo ya silaha kwa Saudia yameanza tena
Apr 23, 2020 03:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa nchini Yemen, imetoa taarifa inayoashiria kuanza tena mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Imarati kutoka kwa baadhi ya nchi za Magharibi, na kulaani vikali hatua hiyo.
-
Misimamo ya vyama vya siasa kuhusu serikali ya mseto katika ardhi zinanazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Apr 23, 2020 01:26Baada ya chaguzi tatu za bunge la Utawala ghasibu wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja na mazungumzo ya muda mrefu baina ya kiongozi wa kundi la Blue and White, Benny Gantz na Benjamin Netanyahu ambaye ni kiongozi wa chama cha Licud, hatimaye pande hizo mbili zimekubaliana kuunda serikali ya mseto, suala ambalo limekabiliwa na misimamo mikali ya makundi ya kisiasa ya Israel.
-
Saudia yazuilia maiti 90 za wanaharakati na wakosoaji wake
Apr 22, 2020 22:15Utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia unazuilia zaidi ya maiti 90 za wanaharakati waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, wakiwemo wakosoaji wa mradi tata wa mabiioni ya dola katika pwani ya Bahari Nyekundu.