-
Saudia yazuilia maiti 90 za wanaharakati na wakosoaji wake
Apr 22, 2020 22:15Utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia unazuilia zaidi ya maiti 90 za wanaharakati waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, wakiwemo wakosoaji wa mradi tata wa mabiioni ya dola katika pwani ya Bahari Nyekundu.
-
Rais Barham Salih: Iraq itazishinda changamoto inazokabiliwa nazo; Iran ni jirani yetu muhimu
Apr 22, 2020 22:14Rais Barham Salih wa Iraq amezungumzia masuala mbalimbali zikiwemo changamoto zinazoikabili nchi hiyo, mgogoro wa kiuchumi, uhusiano wa nchi yake na Iran na mchakato wa kuundwa serikali mpya katika nchi hiyo.
-
Kutangazwa taarifa mpya kuhusu mauaji ya Khashoggi; chachu ya msuguano mpya kati ya Saudia na Uturuki
Apr 22, 2020 01:27Uturuki imeweka hadharani taarifa nyingine mpya kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari, aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia.
-
Unicef: Mamilioni ya watoto Asia magharibi watasumbuliwa na umaskini kwa sababu ya corona
Apr 21, 2020 21:07Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadhasriha kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watoto katika eneo la Asia magharibi kusumbuliwa na umaskini kutokana na janga la kiuchumi litakalosababishwa na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Kuvunjika mazungumzo na kushadidi hitilafu kusini mwa Yemen
Apr 21, 2020 21:06Mazungumzo ya serikali iliyojiuzulu ya Abdrabbuh Mansur Hadi na Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen yamevunjika na kutokuwa na natija; na hivyo kwa mara nyingine tena kushadidisha hitilafu baina ya pande mbili hizo.
-
Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq
Apr 21, 2020 07:17Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iraq amesema kuwa Wamarekani ndio waliopanga mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Saudia yaamua kupunguza uzalishaji mafuta
Apr 21, 2020 06:59Saudi Arabia imetangaza kupunguza uzalishaji mafuta kabla hata ya muda uliofikiwa hivi karibuni katika kikao cha Jumuiya ya Nchi Zinazozalisha Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC).
-
Amnesty International: Saudia imevunja rekodi ya kuwanyonga watu
Apr 21, 2020 03:22Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limesema utawala wa Aal-Saud mwaka jana ulivunja rekodi ya kutekeleza hukumu ya kuwanyonga watu ndani ya mwaka mmoja nchini Saudi Arabia.
-
Avigdor Lieberman ataka kupitishwa haraka sheria ya kumzuia Netanyahu kuwa waziri mkuu
Apr 20, 2020 22:27Avigdor Lieberman, Waziri wa Zamani wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel amemtaka spika wa bunge la utawala huo kupitisha mpango wa kumzuia Benjamin Netanyahu kuwa waziri mkuu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Tupo vitani na utawala haramu wa Israel
Apr 20, 2020 22:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon sambamba na kuashiria kuendelea uvamizi wa utawala haramu wa Kizayuni, amesema kuwa, nchi hiyo iko katika vita na utawala huo.