-
Saudia yaamua kupunguza uzalishaji mafuta
Apr 21, 2020 06:59Saudi Arabia imetangaza kupunguza uzalishaji mafuta kabla hata ya muda uliofikiwa hivi karibuni katika kikao cha Jumuiya ya Nchi Zinazozalisha Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC).
-
Amnesty International: Saudia imevunja rekodi ya kuwanyonga watu
Apr 21, 2020 03:22Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limesema utawala wa Aal-Saud mwaka jana ulivunja rekodi ya kutekeleza hukumu ya kuwanyonga watu ndani ya mwaka mmoja nchini Saudi Arabia.
-
Avigdor Lieberman ataka kupitishwa haraka sheria ya kumzuia Netanyahu kuwa waziri mkuu
Apr 20, 2020 22:27Avigdor Lieberman, Waziri wa Zamani wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel amemtaka spika wa bunge la utawala huo kupitisha mpango wa kumzuia Benjamin Netanyahu kuwa waziri mkuu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Tupo vitani na utawala haramu wa Israel
Apr 20, 2020 22:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon sambamba na kuashiria kuendelea uvamizi wa utawala haramu wa Kizayuni, amesema kuwa, nchi hiyo iko katika vita na utawala huo.
-
Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo
Apr 20, 2020 22:26Mkuu wa Mrengo wa Badr katika Bunge la Iraq amesema kuwa maraajii wa kidini wa nchi hiyo wanasisitiza suala la kuainishwa muda wa kuondoka vikosi vya askari wa kigeni nchini humo.
-
Janga la mchanganyiko wa maradhi manne; matokeo ya vita vya kivamizi vya Saudia dhidi ya Yemen
Apr 20, 2020 22:25Baada ya kipindupindu, malaria na homa ya kidingapopo au dengi, wananchi madhulumu wa Yemen sasa wanahofia maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona vya COVID-19.
-
Yaelezwa kuwa kinara mpya wa Daesh (ISIS) amepenya nchini Iraq kwa msaada wa Marekani
Apr 20, 2020 12:55Chanzo kimoja cha usalama nchini Iraq kimesema kuwa, kwa mujibu wa taarifa za kiintelejensia zilizopatikana, Abu Ibrahim al-Hashimi al-Qurashi, kiongozi mpya wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) amepenya nchini humo kwa msaada wa askari magaidi wa Marekani.
-
Tamko la Kamisheni ya Haki za Binadamu ya OIC la kulaani ukatili wanaozidi kufanyiwa Waislamu wa India
Apr 20, 2020 08:23Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.
-
Ulazima wa kuachiliwa maelfu ya mateka Wapalestina wanaoshikiliwa na utawala wa Kizayuni
Apr 20, 2020 03:24Makao makuu ya kudumu ya Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu , Bunge la Iran, imetoa taarifa kwa mnasaba wa 'Siku ya Mateka Wapalestina', na kusisitiza ulazima wa kuachiliwa bila masharti mateka 5000 wa Palestina wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Utawala haramu wa Kizayuni na mkosi wa jina 'Netanyahu'
Apr 19, 2020 04:57Duru za habari za utawala haramua wa Kizayuni zinasema kwamba Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala huo ametishia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kwamba iwapo mahakama itamuuzulu kwenye nafasi yake hiyo, basi atachochea uasi wa mitaani.