-
Saudi Arabia na usitishaji vita nchini Yemen
Apr 10, 2020 06:10Saudi Arabia imetangaza kuanza usitishaji vita wa wiki mbili huko Yemen hata hivyo nchi hiyo ilikiuka usitishaji vita huo katika masaa ya awali tu ya kuanza kutekelezwa.
-
Kujiuzulu al-Zurfi na kufunguliwa njia ya kupatikana mshikamano wa kisiasa ndani ya Iraq
Apr 10, 2020 03:54Baada ya kujiuzulu Adnan al-Zurfi, Rais Barham Salih wa Iraq amemteua Mustafa al-Kadhimi kuwa waziri mkuu mpya na kumpa jukumu la kuunda serikali.
-
Corona yawapata wanamfalme 150 wa Saudi Arabia akiwemo Gavana wa Riyadh, Faisal bin Bandar
Apr 10, 2020 01:55Vyombo vya habari vimeripoti kuwa virusi vya corona vimeshambulia kwa kiwango kikubwa famia ya kifalme ya Saudi Arabia.
-
UN yapongeza usitishaji vita Yemen, yataka uheshimiwe
Apr 09, 2020 22:00Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi wamepongeza uamuzi wa kusitisha vita na mapigano nchini Yemen.
-
Saudia yatangaza kusitisha vita Yemen kisha yakiuka tangazo hilo
Apr 09, 2020 06:39Muungano wa kivita unaaongozwa na Saudi Arabia, ambao Jumatano mchana ulitangaza kile ulichodai ni 'usitishaji vita' katika hujuma yake ya kinyama dhidi ya Yemen, ulikiuka tangazo lake hilo Jumatano usiku kwa kudondosha mabomu katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo.
-
Radiamali ya ofisi ya Rais wa Afghanistan kwa hatua ya Taliban ya kusitisha mazungumzo
Apr 09, 2020 03:53Ofisi ya Rais wa Afghanistan imelikosoa kundi la Taliban kwa hatua yake ya kusitisha mazungumzo yake na serkali hiyo.
-
Hamas: Tutakubali kubadilishana wafungwa na Israel kwa masharti
Apr 09, 2020 03:51Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema harakati hiyo imeazimia kuhakikisha kuwa wafungwa wa Kipalestina walioko katika jela za Israel wanaachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa na utawala huo wa Kizayuni.
-
Yemen yalaani jinai ya Wasaudia ya kushambulia vituo vya karantini ya wagonjwa wa Corona
Apr 08, 2020 22:14Kamati Kuu ya Kukabiliana na Virusi vya Corona nchini Yemen, imelaani vikali mashambulizi ya wavamizi wa Saudi Arabia dhidi ya vituo vya karantini na maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa Corona nchini humo.
-
Wakazi wa Al-Hasakah nchini Syria wawalazimisha askari wa Marekani kurudi nyuma
Apr 08, 2020 22:13Wakazi wa kijiji cha 'Kharab Askar' katika mkoa wa Al-Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria kwa mara nyingine tena wamewazuia askari wa Marekani na kuwalazimisha kurudi nyuma.
-
Kamisheni ya Usalama ya Bunge la Iraq yaonya kuhusu kupuuzwa uwepo wa Marekani nchini humo
Apr 08, 2020 08:36Mkuu wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq ametahadharisha kuhusiana na kuendelea kuwepo majeshi ya Marekani katika kituo cha Ain al-Assad katika mkoa wa al-Anbar na al-Harir katika eneo lenye Mamlaka ya Ndani la Kurdestan.