-
Arab League yatahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kulitumia vibaya janga la Corona
Apr 08, 2020 03:33Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amezungumza kwa simu na Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) na kutahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kutumia vibaya janga la virusi vya corona.
-
Vuta nikuvute juu ya uwaziri mkuu wa al-Zurfi huku makundi ya Kiiraqi yakikaribia kufikia mwafaka
Apr 08, 2020 03:16Kufuatia upinzani mkali wa makundi ya Kishia kwa pendekezo la kumfanya Adnan al-Zurfi waziri mkuu mpya wa Iraq, waungaji mkono wa waziri mkuu huyo mteule aliyepewa jukumu la kuunda serikali wameyumba kimsimamo na hivi sasa makundi ya kisiasa nchini humo yanakaribia kufikia mwafaka wa kumpendekeza shakhsia mwingine mpya wa kushika wadhifa huo.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Utawala wa Kizayuni una wasiwasi kuwa uhai wake hautazidi miaka 80
Apr 07, 2020 23:09Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, hivi sasa katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu kuna utawala ghasibu ambao una wasiwasi wa kulinda uwepo wake wa kisiasa na una hofu kuwa uhai wake hautazidi miaka 80.
-
Muungano vamizi wa Saudia na Imarati washambulia mara 300 maeneo mbalimbali ya Yemen
Apr 07, 2020 19:07Msemaji wa jeshi la Yemen ameashiria namna muungano vamizi wa Saudi Arabia na Imarati katika kipindi cha wiki moja iliyopita ulivyoshambulia mara mamia kadhaa mikoa mbalimbali ya Yemen na kusisitiza kuwa muungano vamizi wa Saudia na Imarati utakabiliwa na jibu la jeshi la Yemen iwapo utakariri mashambulizi hayo.
-
HAMAS yatoa onyo kwa Israel kuhusu hali za wafungwa Wapalestina katika mazingira ya maambukizi ya corona
Apr 07, 2020 09:59Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutahadharisha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na matokeo utakayokabiliana nayo kwa kutoshughulikia hali za mateka Wapalestina unaowashikilia katika jela zake.
-
UN yapinga madai ya kuhusika Syria katika shambulizi dhidi ya hospitali za Idlib
Apr 07, 2020 03:47Kamati ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imepinga madai kwamba Syria imeshambulia hospitali na vituo vya afya huko Idlib.
-
Serikali ya Uokovu wa Kitaifa Yemen yakubali pendekeo la kubadilishana mateka la UN
Apr 07, 2020 03:27Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imetangaza kuwa, imekubali pendekezo la Umoja wa Mataifa la kubadilishana mateka na muungano wa vita unaoongozwa na Saudi Arabia katika awamu mbili.
-
Arab League yatahadharisha kuhusu hatari ya corona kwa wafungwa wa Kipalestina huko Israel
Apr 06, 2020 22:20Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetahadharisha kuhusu hatari kubwa inayotishia uhai wa wafungwa karibu elfu tano wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala haramu wa Israel kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Jinai za Aal Saudi dhidi ya sekta ya elimu nchini Yemen
Apr 06, 2020 22:20Moja ya sekta ambazo zimepata pigo kubwa katika vita vya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen ni sekta ya elimu katika nchi hiyo masikini zaidi ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kaburi jengine la halaiki lagunduliwa katika mkoa wa al-Anbar, Iraq
Apr 06, 2020 03:35Vikosi vya usalama vya Iraq vimegundua kaburi la halaiki lenye maiti za askari wa usalama na raia waliouawa katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa nchi hiyo.