-
Arab League yatahadharisha kuhusu hatari ya corona kwa wafungwa wa Kipalestina huko Israel
Apr 06, 2020 22:20Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetahadharisha kuhusu hatari kubwa inayotishia uhai wa wafungwa karibu elfu tano wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala haramu wa Israel kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Jinai za Aal Saudi dhidi ya sekta ya elimu nchini Yemen
Apr 06, 2020 22:20Moja ya sekta ambazo zimepata pigo kubwa katika vita vya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen ni sekta ya elimu katika nchi hiyo masikini zaidi ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kaburi jengine la halaiki lagunduliwa katika mkoa wa al-Anbar, Iraq
Apr 06, 2020 03:35Vikosi vya usalama vya Iraq vimegundua kaburi la halaiki lenye maiti za askari wa usalama na raia waliouawa katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Shirika la ujasusi la Israel Mossad lashukiwa kuhusika na mauaji ya kamanda wa Hizbullah
Apr 06, 2020 03:14Duru za Lebanon zimesema, shirika la ujasusi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Mossad na vibaraka wake ndio wanaoshukiwa kuhusika na mauaji ya kamanda wa Hizbullah Muhammad Ali Yunus.
-
Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq yatahadharisha juu ya malengo ya Marekani ya kubakia kwa muda mrefu nchini Iraq
Apr 05, 2020 22:03Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq ametahadharisha juu ya mipango ya Marekani ya kutaka kubakia kwa muda mrefu nchini humo.
-
Israel yawabagua Waarabu katika kutoa huduma kwa waathirika wa corona
Apr 05, 2020 05:55Mkuu wa Muungano wa Kiarabu katika Bunge la Israel, (Knesset) ametahadharisha kuhusiana na mwenendo wa utawala wa Kizayuni wa kufanya ubaguzi katika huduma za kupima na kutoa huduma zinazohusiana na virusi vya corona baina ya Waarabu na Wazayuni.
-
Hamas: Tumesimama pamoja na Iran katika vita dhidi ya corona
Apr 05, 2020 03:37Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema harakati hiyo imesimama bega kwa bega na taifa la Iran katika makabiliano dhidi ya janga la corona.
-
Shambulio la Saudia laua familia nzima akiwemo mama mjamzito Yemen
Apr 05, 2020 03:26Saudi Arabia imetekeleza shambulizi la roketi katika mkoa wa Sa'ada, kaskazini magharibi mwa Yemen na kuua watu wote wa familia moja.
-
Baada ya kushindwa kutatua mgogoro wa Libya, Arab League yasema inasikitishwa na mapigano wakati huu wa kushughulikia corona
Apr 04, 2020 22:22Baada ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kushindwa kutatua mgogoro wa Libya na kukomesha mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika, Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo ameishia kusema anasikitishwa na vita vinavyoendelea huko Libya badala ya kuelekezwa nguvu katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Walowezi wa Kizayuni wazidi kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa huku Waislamu wakizuiwa
Apr 04, 2020 03:18Idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaoingia katika Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inazidi kuongezeka siku baada ya siku huku Waislamu wakizuiwa kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kisingizio cha kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona.