-
Shambulio la Saudia laua familia nzima akiwemo mama mjamzito Yemen
Apr 05, 2020 03:26Saudi Arabia imetekeleza shambulizi la roketi katika mkoa wa Sa'ada, kaskazini magharibi mwa Yemen na kuua watu wote wa familia moja.
-
Baada ya kushindwa kutatua mgogoro wa Libya, Arab League yasema inasikitishwa na mapigano wakati huu wa kushughulikia corona
Apr 04, 2020 22:22Baada ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kushindwa kutatua mgogoro wa Libya na kukomesha mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika, Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo ameishia kusema anasikitishwa na vita vinavyoendelea huko Libya badala ya kuelekezwa nguvu katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Walowezi wa Kizayuni wazidi kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa huku Waislamu wakizuiwa
Apr 04, 2020 03:18Idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaoingia katika Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inazidi kuongezeka siku baada ya siku huku Waislamu wakizuiwa kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kisingizio cha kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona.
-
Amnesty International yaitaka Saudi Arabia iwaachie huru wafungwa wa Kipalestina
Apr 04, 2020 03:18Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeutaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru wafungwa wawili wa Kipalestina ikisisitiza kwamba, kesi ya Wapalestina hao haikuendeshwa kiadilifu.
-
Saudi Arabia yaendelea kuishambulia kijeshi Yemen na kufanya uharibifu
Apr 04, 2020 03:16Kanali ya Televisheni ya al-Masirah imetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen umeendelea kuishambulia kijeshi nchi hiyo na kutekeleza mashambulio 19 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita,
-
Wapalestina watahadharisha juu ya utawala wa Kizayuni kuwarubuni
Apr 03, 2020 07:45Makundi ya muqawama ya Palestina yametahadharisha juu ya njama za utawala haramu wa Israel za kutaka kuyarubuni kwa ajili ya kuingizwa vifaa vya tiba katika Ukanda wa Gaza.
-
Brigedia Jenerali Baqeri: Hatua yoyote dhidi ya Iran itajibiwa vikali zaidi
Apr 02, 2020 22:31Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amezungumzia harakati za kijeshi za Marekani nchini Iraq na katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kueleza kuwa Marekani itakabiliwa na jibu kali iwapo itachua hatua au kutaka kuteteresha usalama wa Iran.
-
Mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Iraq: Maafisa wa Marekani walifanya vikao na Maba'ath
Apr 02, 2020 22:30Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya bunge la Iraq amefichua kuwa, baadhi ya maafisa wa Marekani walioko katika nchi jirani na Iraq, walifanya vikao kadhaa na viongozi wa chama kilichopigwa marufuku cha Ba'ath.
-
Israel yakumbwa na mgogoro mkubwa katika sekta ya afya
Apr 02, 2020 22:29Kuenea virusi vya Corona katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kushindwa utawala haramu wa Kizayuni katika kuzuia maambukizi ya maradhi hayo, kumepelekea kushtadi wasi wasi mkubwa baina ya viongozi wa utawala huo.
-
Waziri kivuli wa Mambo ya nje Uingereza: Mauaji ya Khashoggi bado hayajasahaulika
Apr 02, 2020 22:29Waziri kivuli wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesisitiza kwamba licha ya kuenea maambukizi ya virusi vya Corona, lakini suala la mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala wa Aal Saud bado halijasahaulika.