-
Nasrallah: Katika vita dhidi ya Corona, Trump ni muongo mkubwa
Mar 14, 2020 04:27Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema katika vita dhidi ya kirusi cha corona, muongo mkubwa zaidi ni Rais Donald Trump wa Marekani na timu yake.
-
Makundi ya ukombozi ya Palestina yajitayarisha kukabiliana na Wazayuni Ukanda wa Gaza
Mar 13, 2020 23:02Kutokana na kuongezeka uwezekano wa utawala wa Kizayuni wa Israel kushambulia eneo la Ukanda wa Gaza, makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yamejiweka katika hali ya tahadhari kwa ajili ya kukabiliana na hujuma ya aina yoyote ya utawala huo haramu.
-
Iraq yalaani mashambulizi ya Marekani, yasema ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala
Mar 13, 2020 10:21Jeshi la Iraq na Ofisi ya Rais wa nchi hiyo zimekosoa vikali mashambulizi mapya ya Marekani nchini humo yaliyoua wanajeshi, askari polisi na raia.
-
Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq
Mar 13, 2020 07:20Marekani inaendelea kupuuza amri ya Bunge la iraq ya kuondoa wanajeshi wake nchini humo, bali inaendelea kufanya mashambulizi ya kivamizi katika maeneo mbalimbali ya Iraq ikiwa ni kuendelea kukanyaga waziwazi haki ya kujitawala taifa hilo la Kiarabu.
-
Marekani yatekeleza njama mpya dhidi ya Wapalestina kwa kubadilisha utambulisho wa wakazi wa Quds
Mar 12, 2020 12:03Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina imesema, hatua ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani ya kubadilisha utambulisho wa Wapalestina wa eneo la Baitul Muqaddas Mashariki ni hujuma ya dhahiri na uchokozi wa wazi dhidi ya utambulisho wa Wapalestina.
-
Uturuki yasisitiza tena itaendelea kuwepo kijeshi Syria na wala haifikirii kuwaondoa askari wake Idlib
Mar 12, 2020 11:56Waziri wa Ulinzi wa Uturuki amesisitiza kwa mara nyingine kuwa nchi hiyo itaendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Idlib nchini Syria.
-
Mgogoro baina ya Morocco na Imarati wapamba moto
Mar 12, 2020 04:35Uhusiano wa kidiplomasia baina ya Morocco na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeingia katika mgogoro mkubwa baada ya Abu Dhabi kukataa kutuma balozi mpya mjini Rabbat, na Morocco nayo imeamua kushusha chini kabisa kiwango cha uhusiano wake wa kidiplomasia na Imarati.
-
Agizo la kuachiliwa huru wafungwa wa kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan
Mar 12, 2020 01:13Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afganistan ametoa amri ya kuachiliwa huru kutoka gerezani wafungwa ambao ni wanachama wa kundi la wanamgambo wa Taliban.
-
Answarullah: Marekani ndio mhusika mkuu wa mauaji na mzingiro dhidi ya Wayemen
Mar 11, 2020 23:11Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen ameitaja Marekani kuwa muhusika mkuu wa mauaji na mzingiro dhidi ya watu wa Yemen.
-
Vita vya madaraka vya pande kadhaa vya Bin Salman
Mar 11, 2020 23:11Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameanzisha vita vikubwa vya madaraka kuanzia ndani hadi nje ya nchi hiyo ya utawala wa kiukoo.