-
Baada ya Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani kila mmoja kuapishwa kuwa rais, mzozo mkubwa wa kisiasa waibuka Afghanistan
Mar 11, 2020 13:23Mzozo mkubwa wa kisiasa wa kugombania madaraka nchini Afghanistan umezidi kushika kasi, baada ya washindani wakubwa wawili ambao ni Ashraf Ghani na Abdullah Abdullah kumfuta kazi mwingine.
-
Palestina yaionya Israel dhidi ya kutumia vibaya suala la virusi vya Corona
Mar 11, 2020 08:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imewatahadharisha Wazayuni kutotumia vibaya suala la virusi vya Corona kuzishughulisha fikra za walimwengu ili wapate fursa ya kupora ardhi zilizosalia za Palestina.
-
Uturuki yatuma zana mpya za kijeshi mkoani Idlib, Syria
Mar 11, 2020 07:44Duru za habari zimeripoti kwamba jeshi la Uturuki limetuma kwa mara nyingine zana mpya za kijeshi kwenda viunga vya mji wa Idlib, nchini Syria.
-
Saudia yaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mnunuzi mkuu wa silaha duniani
Mar 10, 2020 04:45Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Saudia yaendelea kukiuka makubaliano ya Stockholm, UN yashikwa na kigugumizi
Mar 10, 2020 03:09Saudi Arabia inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha vita katika eneo la al Hudaydah nchini Yemen huku Umoja wa Mataiifa, badala ya kulaani kitendo hicho, umelitaka jeshi na Yemen na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah waache kusonga mbele katika mikoa ya al Jawf na Ma'rib.
-
Bahrain yashinikizwa iwaachilie huru wafungwa wa kisiasa wanawake
Mar 09, 2020 07:58Jumuiya ya ‘Amani Kwa Ajili ya Demokrasia na Haki za Binadamu’ imewataka viongozi wa Bahrain kutambua haki za wanawake na hivyo kuwaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa wanawake ambao wanashikiliwa kwa kosa kueleza mitazamo yao ya kisiasa au kuwa ni wanaharakati wa haki za binadamu.
-
Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona
Mar 09, 2020 04:30Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.
-
Hamas yalaani kuendelea kushikiliwa Wapalestina nchini Saudi Arabia
Mar 09, 2020 04:26Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani kutiwa mbaroni viongozi wa Wapalestina na kupandishwa kizimbani huko Saudi Arabia.
-
Uturuki yakiri kuongezeka hasara za kijeshi nchini Syria
Mar 08, 2020 23:29Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekiri juu ya hasara za kiroho na mali za jeshi la nchi yake huko katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria kufuatia mapigano makali kati ya askari wa nchi mbili.
-
Answarullah: Kusimamishwa vita na kuondolewa mzingiro Yemen, ndilo sharti la kila mazungumzo
Mar 08, 2020 23:24Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa kuanza mazungumzo yoyote kunategemea kusimamishwa uvamizi wa muungano wa Saudia dhidi ya Yemen sambamba na kuondolewa mzingiro nchi hiyo.