-
Mwanamfalme wa nne atiwa mbaroni nchini Saudi Arabia
Mar 08, 2020 08:52Duru za habari za karibu na utawala wa kifalme wa Saudia zimeripoti habari ya kutiwa mbaroni mwanamfalme wa nne kwa amri ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.
-
Kamatakamata ya wanawafalme Saudia imetokana na kudhoofika hali Mfalme Salman
Mar 07, 2020 23:14Chanzo cha habari cha kuaminika kimearifu kuwa, wimbi jipya la kamatakamata linalofanywa na Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman limesababishwa na kuzidi kuwa mbaya hali ya kiafya ya Mfalme Salman bin Abdulaziz wa nchi hiyo ambaye anaugua ugonjwa wa kusahau na kupoteza kumbukumbu (Alzheimer's disease).
-
Kukamatwa wanamfalme wapinzani wa Bin Salman na mikakati ya kushikilia madaraka ya nchi
Mar 07, 2020 23:12Askari wa Gadi ya Mfalme wa Saudi Araba wamewatia nguvuni wanamfalme watatu wa nchi hiyo kwa tuhuma za uhaini.
-
Martin Griffiths ataka kusitishwa vita mara moja nchini Yemen
Mar 07, 2020 11:56Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masala ya Yemen ametoa wito wa kusitishwa vita mara moja na bila ya masharti yoyote nchini Yemen.
-
Makubaliano ya Idlib, kushindwa Uturuki na kifua mbele cha Syria na waitifaki wake
Mar 07, 2020 06:12Marais wa Uturuki na Russia Alkhamisi iliyopita walikutana mjini Moscow na kufikia makubaliano kuhusu suala la kusitisha vita huko Idlib nchini Syria.
-
Bin Salman aendeleza wimbi la ukandamizaji: Wanawafalme watatu waandamizi watiwa nguvuni Saudia
Mar 07, 2020 03:35Utawala wa Saudi Arabia umemtia nguvuni Mwanamfalme Ahmed bin Abdulaziz Al Saud, ndugu wa Mfalme Salman pamoja na mpwa wa mfalme huyo Muhammad bin Nayef katika muendelezo wa kampeni inayoendeshwa na mrithi wa ufalme Muhammad bin Salman ya kuwakandamiza jamaa wa aila hiyo ya kifalme ili kujisafishia njia ya kushika hatamu za ufalme wa nchi hiyo baada ya baba yake.
-
Russia: Syria ina haki ya kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko ndani ya ardhi yake
Mar 07, 2020 03:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa, serikali ya Syria ina haki ya kuyatokomeza na kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko katika ardhi yake.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa UK nchini Saudia, juhudi za kuisakamua Riyadh kutoka kwenye kinamasi cha Yemen
Mar 07, 2020 02:30Serikali ya kihafidhina ya Uingereza ni miongoni wa waitifaki wakuu wa utawala wa kiimla wa Saudi Arabia na ina uhusiano wa kindakindaki wa kiuchumi na kisilaha na utawala huo wa kidikteta. Kama hilo halitoshi, Uingereza pia ina mchango mkubwa katika uvamizi wa nchi maskini ya Yemen unaoongozwa na Saudia.
-
Ansarullah: Marekani na Uingereza zinaongoza vita vya muungano wa Saudia nchini Yemen
Mar 06, 2020 07:34Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Watu wa Yemen amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Marekani na Uingereza wanaongoza mashambulizi yanayofanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.
-
Bashar Asad: Syria itaanza opesheni dhidi ya wavamizi wa Kimarekani karibuni
Mar 06, 2020 04:53Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa Uturuki inatekeleza maagizo ya Marekani na inafanya juu chini kuhakikisha kwamba Damascus haikomboi mkoa wa Idlib kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi.