-
Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq
Feb 28, 2020 02:05Marekani imetuma idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Iraq tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh. Katika hatua yake ya kukurupuka Marekani imeliorodhesha jina la kiongozi wa mojawapo ya makundi muhimu ya taasisi ya Kataeb Hizbullah ya Iraq licha ya nafasi muhimu ya kundi la kujitolea la wananchi la al Hashd al Shaabi katika kutoa pigo na kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.
-
Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib
Feb 27, 2020 21:47Taasisi inayoitwa 'Watetezi wa Haki za Binaadamu Syria' imetangaza kuwa jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Lebanon yachukua uamuzi wa kuanza kuchimba mafuta eneo inalozozania na Israel
Feb 27, 2020 21:47Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa nchi yake itaanzisha operesheni ya kuchimba mafuta katika eneo inalozozania na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Virusi vya Corona na propaganda chafu dhidi ya Iran na Asia magharibi
Feb 27, 2020 21:46Virusi vya Corona vimeenea katika zaidi ya nchi 40 duniani zikiwemo nchi za Kiarabu za magharibi mwa Asia. Hata hivyo baadhi ya nchi zimeanzisha wimbi kubwa la propaganda na kutumia virusi vya Corona kama wenzo wa kilipiza kisasi kisiasa dhidi ya Iran.
-
Risasi za jeshi la Israel zawapofusha Wapalestina 21 Ukanda wa Gaza
Feb 27, 2020 09:41Kituo cha Haki za Binadamu cha Beytulahm (Bethlehem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu kimeripoti kuwa, Wapelestina 21 katika Ukanda wa Gaza wamesababishiwa upofu na ufyatuaji risasi wa jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya miaka miwili iliyopita.
-
Saudia yasimamisha Umrah kwa hofu ya virusi vya Corona
Feb 27, 2020 09:30Saudi Arabia imetangaza kusimamisha kwa muda Ibada ya Umrah katika Msikiti wa Mtume Muhammad SAW mjini Madina kutokana na hofu ya kuenea virusi vya Corona ambavyo vimeua maelfu ya watu kufikia sasa.
-
UN yaitaka Saudia iheshimu haki za binadamu, iwaachie huru wanawake
Feb 27, 2020 09:25Kamishna MKuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo wa kuendelea kukamatwa wapinzani wa serikali nchini Saudi Arabia hususan wanaharakati wanawake, sanjari na kukiukwa haki za binadamu.
-
Jordan: Ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni unakinzana na sheria za kimataifa
Feb 27, 2020 03:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan ametangaza kuwa, nchi yake inapinga vikali mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina kwani unakiinzana wazi wazi na sheria za kimataifa.
-
HAMAS: Umoja wa Muqawama wa Palestina utaushinda 'Muamala wa Karne'
Feb 26, 2020 09:23Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria jibu la wanamapambano wa Palestina dhidi ya mashambulio ya karibuni ya Wazayuni na kusisitiza kuwa: Muqawama utaushinda pia mpango wa Muamala wa Karne.
-
Matokeo ya vita vya siku mbili kati ya Israel na wanamuqawama wa Palestina
Feb 26, 2020 03:41Vita kati ya makundi ya muqawama ya Palestina na utawala haramu wa Israel vimemalizika kwa usitishaji mapigano.