-
Baraza la Usalama la UN launga mkono suala la kuundwa nchi huru ya Palestina
Feb 26, 2020 01:03Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza uungaji mkono wake kamili kwa suala la kuundwa nchi huru ya Palestina na kuendelezwa "mazungumzo yenye itibari" baina ya pande mbili.
-
Utawala wa Kizayuni watishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina huko Ukanda wa Ghaza
Feb 25, 2020 10:02Viongozi wa utawala wa Kizayuni wametishia kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za Hamas na Jihadul Islami huko Ukanda wa Ghaza.
-
Kuanza tena uhusiano wa posta kati ya Misri, Saudi Arabia, Bahrain na Qatar
Feb 25, 2020 09:57Katika hatua yao mpya Misri, Saudi Arabia na Bahrain zimeamua kuanza tena kutoa huduma za posta kwa Qatar.
-
Guterres na Lavrov wasisitiza ulazima wa kuimarishwa nafasi ya UN katika kutatua migogoro duniani
Feb 25, 2020 09:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamesisitiza juu ya ulazima wa kupatikana njia za kutatua changamoto na vitisho vinavyoikabili dunia kwa mujibu wa hati ya Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.
-
Madai ya Erdogan kwamba Uturuki inafanya juhudi za kurejesha utulivu kaskazini mwa Syria
Feb 25, 2020 04:30Rais wa Uturuki amedai kwamba nia ya nchi yake ni kurejesha utulivu na uthabiti katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan
Feb 24, 2020 21:52Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan zimeripoti kesi za kwanza za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona katika nchi hizo za eneo la Asia Magharibi.
-
Al Zahar: Jinai za Israel ni matunda ya kuanzishwa uhusiano baina yake na nchi za Kiarabu
Feb 24, 2020 21:51Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, jinai unazofanya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina ni matunda ya hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia.
-
Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya "Muamala wa Karne"
Feb 24, 2020 08:52Ikiwa haujapita mwezi mmoja sasa tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipozindua rasmi mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne", utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha duru mpya ya vita na mashambulizi dhidi ya makundi na harakati za kupigania ukombozi za Palestina.
-
Al Bukhaiti: Wasaudia walifanya juhudi kubwa za kuwaua marubani wao nchini Yemen
Feb 24, 2020 08:20Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Answarullah ya Yemen amesema kuwa, baada ya vikosi vya kujitolea na jeshi la Yemeni kuitungua ndege ya Tornado inayotengenezwa nchini Uingereza na ambayo ilikuwa inatumiwa na Saudi Arabia kufanya mauaji nchini Yemen, viongozi wa Riyadh walifanya juhudi kubwa za kuwaangamiza marubani waliokuwemo kwenye ndege hiyo lakini walishindwa.
-
Papa Francis akosoa mpango wa Trump wa Muamala wa Karne
Feb 24, 2020 01:10Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, kwa njia isiyo ya moja kwa moja amekosoa mpango wa Rais Donald Trump wa Muamala wa Karne ambapo ameonya kuwa, mipango ya namna hiyo inayoegemea upande mmoja haiwezi kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na Israel.